Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Katika mechi ambayo tulicheza vibaya mkuu ni hiyo mashabik wengi wa united wamekasirika kaisi kwamba hadi wameanza kampeni ya kumzingua mtendaaji mkuu wa timu kabla ya kumfikia Mourinho.
Na hao fans wansomzingua Woodward na wapumbavu wakuu, ina maana wameridhika na kiwango cha uchezaji cha timu ya Mou hata pale Woodward alipojitahidi kumtimizia matakwa yake? Sisi huku tuna akili zaidi ya hao baadhi ya wazungu wanaomuunga mkono Mou

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waingereza wanachonga kuliko hata wanawake wa Tandale. Media zao zimekaa kiumbeaumbea muno.

Wanamwandama utadhani kawapokonya wake zao, ovyo kabisa. Mbona hawatoi comments kujenga timu ya taifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kifupi mpira Wa Mou wa kujilinda umepitwa na wakati

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado mkuu unanidanganya kitu kocha nampongeza angeanza kuwafukuza wachezaj kama van gal leo ingekuwa inshu hebu mpe credit hawez kutoa wachezaj wakat bodi inasumbua kusajili
 
Ina maana gary neville ni mpumbavu?
 
Woodward na Morinyo nani alimtangulia mwingine pale OT? United imepata uhai tangu kuwasili Morinyo kufuatia kustaafu SAF

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kuna kitu huwa sikielewi.

Hivi mnaomteteaga Mou ni kwamba mnapendezwa sana na aina ya soka lake au?
 
Game na toten man watashindia cv ya nyumbani na si vinginevyo. Watacheza mpira wa ovyo lakn bado watashinda ila baada ya hapo wataendelea kupoteza. Morinyo apotezwe fasta mtakufa na presha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Game na toten man watashindia cv ya nyumbani na si vinginevyo. Watacheza mpira wa ovyo lakn bado watashinda ila baada ya hapo wataendelea kupoteza. Morinyo apotezwe fasta mtakufa na presha.

Sent using Jamii Forums mobile app
How comes acheze ovyo na ashinde?? The team which plays well is the one which wins the match and is awarded 3 points.

The only criterion to determine a team which plays well in footbal is a win or a draw. There is no any other measurable criterion you can apply to determine a team which plays well. Other isssues are mere illusions based on feelings of individuals.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ina maana gary neville ni mpumbavu?
Ni mpumbavu ndiyo, na ukiuliza hivyo na Mimi ngoja niulize, ina maana Paul Scholes ni mpumbavu? Manake yeye amekuwa akikataa uchezaji Wa timu kwa muda mrefu sana hadi Mou mwenyewe kuna kipindi alichukia na kumropokea maneno machafu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana hata sisi tunataka kukimbia wakat hata kutambaa bado timu limevulugwa sana tuwe na uvumilivu tu kulalamika kila mara sio suluhu tuwe majasiri bana
Shida kubwa ni kwamba jamaa timu inacheza mpira mbovu sana na haonyeshi kubadilika ktk mbinu za uchezaji. Na uchezaji huu huu na maneno yake ndivyo vilimtoa Chelsea ktk misimu yake mitatu na nusu ya kwanza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…