Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Martial aondoke kwani hayupo kwenye mipango ya mourinho,na hii ni tokea mwanzo..utaifananishaje situation ya rooney kubadilishwa namba na situation ya martial??
 
Martial aondoke kwani hayupo kwenye mipango ya mourinho,na hii ni tokea mwanzo..utaifananishaje situation ya rooney kubadilishwa namba na situation ya martial??
Hukumsikia wakala wake kuhusu martial? Kuna tofauti gani? Kwani rashford hakubadilishwa namba?
 
Usihadaike na juhudi binafsi za ronaldo zizou kasepa kishajua majitu yake ya kazi jua lishazama
Zizzou anajua kushinda..zizzo hakufanya usajili mkubwa tamgu alipokuwa kocha lkn walichukua makombe ya kutosha..
 
Hukumsikia wakala wake kuhusu martial? Kuna tofauti gani? Kwani rashford hakubadilishwa namba?
Nachosema mimi ni kwamba mourinho alikuwa hamtaki martial tokea mwanzo..so ata akiondoka ni vizuri kwake..kuhusu rooney kubadilishwa namba hiyo iko obvious kwamba alikuwa na uwezo mkubwa kwenye hizo nafasi alizokuwa akibadilishwa..usidhani kuwa itafanya kazi kwa mchezaji mwingine yeyote!!
 
Umemuona young na valencia?
 
Umemuona young na valencia?
Kwanza hawa wote walikuwa ni natural wingers..na wengi wao wanaweza kuwa hata full backs..angalia moses wa chelsea..inabidi pia wawe na fiziki nzuri..sasa unataka neymar leo awe beki mbili,mbape awe beki,dembele awe beki,mo salah awe beki??

Hao akina valencia na Young walishindwa kufit kwenye mfumo na umri ushakwenda,sasa kwa nini wasicheze kama mabeki??.

We ulitaka pia mourinho akimwambia martial acheze beki mbili yeye akubali tu??
 
Kwani martial ni striker?

Umemuona mbape na perisic?
 
Zizzou anajua kushinda..zizzo hakufanya usajili mkubwa tamgu alipokuwa kocha lkn walichukua makombe ya kutosha..


Mkuu Usiangalie Mwisho tu! Angalia na Mwanzo pia...
Zidane Hakutumia Pesa Nyingi Katika Usajili lakini Kumbuka Zidane Hakutengeza Timu Pale Real.. Timu aliyotumia Kushinga Makombe Aliikuta imeshatengenezwa Na Mourinho akafuatia Ancelotti Kuiboresha.

Mashine Zilizombeba Kina Ronaldo, Bale, Benzema, Kroos, Modric, Ramos na Marcelo hao Wote Aliwakuta tu Pale Real.

Na Alipoona Sintofahamu ya Ronaldo tu Huku Bale na Benzema Wakieleke Jivulini basi Na yeye Kaamua Kuingia Mitini asijefikwa na Aibu.

Sasa Jiulize Je Hapo Man United Wachezaji Calibre ya Kina Ronaldo, Bale, Modric, Kroose, Benzema, Ramos na Marcelo wapo?
 
Current squad sio mbaya na depth ipo
Tatizo naona ni kocha
Kwa kikosi hikihiki cha sasa cha ManU ukimpa kocha mzuri na creative kitafanya mengi mazuri tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…