Mourinho anataka mchezaji gani??hizo mbinu unazosema wewe JM kaishiwa ndio hizo hizo zimetuweka nafasi ya pili na fainali ya FA
mbinu hizo mbovu zimetupa Carabao Cup na Europa Cup na kucheza UEFA miaka miwili mfululizo mambo haya yalikuwepo enzi za SAF tu
kwa mimi nnavyojua kwenye swala la usajiri...kocha anapeleka list wachezaji anaowataka kwa muajiri wake kisha hapo yeye anasubiria hao wachezaji, hivi unathubutuje kusema Mou kaishiwa mbinu wakati wachezaji anaowataka hapatiwi ambao wanaenda na mbinu zake??
MWISHO: usipende mchezaji, kocha, wala mfumo penda Manchester United
Glory Glory Manchester United
Bale, Willian, Perisic hapo anahitaji mmoja kati yao Bale ni first choiceMourinho anataka mchezaji gani??
Kwahiyo madrid wakisema €150m,,tutoe tu kwa bale ambaye kila siku anakuwa majeruhi..Bale, Willian, Perisic hapo anahitaji mmoja kati yao Bale ni first choice
Harry Maguire
Alex Sandro
(FRED)
hao wazima aliyowahitaji mbona haletewi??Kwahiyo madrid wakisema €150m,,tutoe tu kwa bale ambaye kila siku anakuwa majeruhi..
Kashindwa kumwamini lindelof na bailly ambao wote kawasajili yeye anamtaka tena mwingereza harry maguire kwa €65m..kwanini asifagie kwanza hao ambao anaona hawajapeak kwenye ubora wao,then tusajili vyuma vingine??
jamaa wamekata tamaaaaa! mtu anasema bailly haaminiwi kweli? huyu huyu aliecheza mechi karibu zote kabla ya majeruhi lindelof asingeweza kucheza regular kwa sababu ya makosa madogo alifanya yakatukosti na alikua anatakiwa kuzoea league!hao wazima aliyowahitaji mbona haletewi??
kuhusu Maguire ni namba ya utaifa tu sababu naona kuna baadhi ya waingereza wataondoka kwenye timu
Man United sio timu ya majaribio, Lindelof ni beki mzuri sana ila uzoefu unamcost, kuhusu Bailly ni majeruhi yalimcost pia alizungumzia kuhusu kuwapa nafasi zaidi wachezaji waliofuzu kombe la dunia ila waitwe kwenye timu zao.
Acha utani..Vidic mwenyewe alianza kama yeye,,ila muda mfupi alibadilika na kuwa beki vya viwango vya dunia..hao wazima aliyowahitaji mbona haletewi??
kuhusu Maguire ni namba ya utaifa tu sababu naona kuna baadhi ya waingereza wataondoka kwenye timu(timu inahitaji beki anaejielewa sio Smalling au Jones) Rojo + Bailly it's ok)
Man United sio timu ya majaribio, Lindelof ni beki mzuri sana ila uzoefu unamcost, kuhusu Bailly ni majeruhi yalimcost pia alizungumzia kuhusu kuwapa nafasi zaidi wachezaji waliofuzu kombe la dunia ila waitwe kwenye timu zao.
anavyowatreat nani? Shaw? mbona shae kakiri hana shida na mou? lakini ni shaw huyu huyu alilalamikiwa na Poch na hakuna aliesema kitu ila kwa sababu ni mou mnaona anawatreat vibaya. Pia martial nae wengi tunajaribu ku sympathize nae ila yy mwenyewe ni tatizo kubwa!Wengine hatuongelei pre- season..tunaongelea mwenendo wake na anavyo watreat wachezaji..Mbinu za mourinho kwenye mpira wa sasa zimepitwa na wakati
hata mimi naliona hilo hasa hii pre-season watu wamekuwa desperate sana bila kuangalia aina ya timu iliyokwenda huko, hebe angalia..jamaa wamekata tamaaaaa! mtu anasema bailly haaminiwi kweli? huyu huyu aliecheza mechi karibu zote kabla ya majeruhi lindelof asingeweza kucheza regular kwa sababu ya makosa madogo alifanya yakatukosti na alikua anatakiwa kuzoea league!
kama nimekuelewa vizuri Vidic alivyokuja tu alikuwa regular starter??? of coz inawezekana lakini hiyo timu gani itakayokuvumilia wewe kila siku wakati unaicost timu???Acha utani..Vidic mwenyewe alianza kama yeye,,ila muda mfupi alibadilika na kuwa beki vya viwango vya dunia..
Zaidi ya mechi mbili alizosheza vibaya, sijaona lindelof akichomesha tokea hapo..so una uhakika harry maguire akija united,,beki yetu tutakuwa zaidi ya ukuta??..kama nimekuelewa vizuri Vidic alivyokuja tu alikuwa regular starter??? of coz inawezekana lakini hiyo timu gani itakayokuvumilia wewe kila siku wakati unaicost timu???
hapo hapo mtaanza kumrudia mwalimu anapanga wachezaji wa hovyo
mfano mimi kuhusu Martial ndiyo sipendi kabisa kuzungumzia, Sanchez ana miezi 6 tu katika timu kabla ya hiyo miezi 6 ile namba walikuwa wakicheza watu wawili tu either Rashford au Martial je kuna lipi jipya walilolifanya mpaka apate utetezi huu.anavyowatreat nani? Shaw? mbona shae kakiri hana shida na mou? lakini ni shaw huyu huyu alilalamikiwa na Poch na hakuna aliesema kitu ila kwa sababu ni mou mnaona anawatreat vibaya. Pia martial nae wengi tunajaribu ku sympathize nae ila yy mwenyewe ni tatizo kubwa!
itasaidia somehow, hakuna timu isiyofungwa nitoshe kusema hivyoZaidi ya mechi mbili alizosheza vibaya, sijaona lindelof akichomesha tokea hapo..so una uhakika harry maguire akija united,,beki yetu tutakuwa zaidi ya ukuta??..
Mkuu mkumbushe jamaa kuwa timu haiwezi kuwa na world class player wotekwani lazima awe world class player ndio ujue ame improve? you guys mnaumiza vidole kutype jokes humu
hawa jamaa wamekata tamaa na kocha wao kila kitu anapewa lawama yeye tuMkuu mkumbushe jamaa kuwa timu haiwezi kuwa na world class player wote
Jibu swali acha mipashoman united ndio club pekee imejaa plastic fans
Nakuelewa sana mkuu ila kuna kitu kimoja washabiki wengi wa united kwa sasa tunakisahau,manchester united ni klabu kubwa sana kujivunia carabao,kucheza fainali ya fa,kushiriki uefa na mbaya zaidi kujisifia kumaliza nafasi ya pili. Mbaya zaidi aina ya mpira tunaocheza chini ya mourinho hauonyeshi kama hata hizo nafasi tunazopata tunazistahili.hizo mbinu unazosema wewe JM kaishiwa ndio hizo hizo zimetuweka nafasi ya pili na fainali ya FA
mbinu hizo mbovu zimetupa Carabao Cup na Europa Cup na kucheza UEFA miaka miwili mfululizo mambo haya yalikuwepo enzi za SAF tu
kwa mimi nnavyojua kwenye swala la usajiri...kocha anapeleka list wachezaji anaowataka kwa muajiri wake kisha hapo yeye anasubiria hao wachezaji, hivi unathubutuje kusema Mou kaishiwa mbinu wakati wachezaji anaowataka hapatiwi ambao wanaenda na mbinu zake??
MWISHO: usipende mchezaji, kocha, wala mfumo penda Manchester United
Glory Glory Manchester United
Mkuu kwa mtazamo wako hayo matatizo yanaweza kuondolewa kwa njia zipii?Leo Nasema kwa mara nyingine tena na nimekuwa nikisema miaka nenda rudi kuwa Manchester United imekuwa na matatizo ya kiufindi "Technical Problems" tangu alipoondoka furguson.
Chini ya mourinho team haijamprove kiufundi kabisa. Ni kweli tumeshinda baadhi ya vikombe. Ila kushinda vikombe haimaanishi kiufundi ukp vyema na ndio maana kila siku anapigiwa fujo na fans kuwa aache kupack basi.
Kuna watu wamekuwa wakitumia kigezo cha kushinda kikombe cha europa kama sababu ya mourinho kutokukosolewa. Huu ni ujinga. Fabio capelo aliwahi kutwaa kikombe cha laliga akiwa real madrid ile ya Mastaa kama Beckham na Zidane lakini wiki moja baada ya kutwaa kombe alitimuliwa na Raisi wa team.