Ndugu wewe ni mshabiki wa mzur wa hii timu kuna vitu vingine kutetea lazima uwe makini mno kipa ana nafasi yake ktk hilo suala umemuona kipa wa russia? De gea ktk mashuti 7 aliyopigiwa 6 yameingia golini tuwe makini mno ktk haya mamboPenalty akose koke na Aspas alafu alaumiwe de gea?
De gea kwa upande wa penat ni tatizo anazidiwa na sergio romero ktk upande huo pia kafanya vibaya sana ktk haya mashindano kanihuzunisha sana.
Spain aikuwa vizuri na aswa kitendo cha kubadilishiwa kocha ghafla nahisi kimewatoa katika ushindani kabisaDe gea kwa upande wa penat ni tatizo anazidiwa na sergio romero ktk upande huo pia kafanya vibaya sana ktk haya mashindano kanihuzunisha sana.
Hili ndio kosa kubwa ambalo Spain walifanya pia huwezi kupata mafanikio kwa kucheza tikitaka kwa sasa lazima uwe na altenativeSpain aikuwa vizuri na aswa kitendo cha kubadilishiwa kocha ghafla nahisi kimewatoa katika ushindani kabisa
Nahisi huku united anakaza kufuatana na timu yetu ilivyokuwa sasa kaenda spain amejiachia sana.Tatizo Ni Moja tu! Najiridhisha Kusema Kuwa De Gea Kwenye National Team Hana Competition Yoyote Kutoka Kwa Kipa Namba Mbili wala Tatu Kwani Pepe Reina Yuko Mbali Sana na De Gea! That is Why Huwa Very Careless anapokuwa Golini Kwani Anajiamini Kwa 100% Kuwa Hakuna Wa Kumpa Changamoto Pale Golini.
Tofauti na Man United! Anajua Wazi Kuwa Akizingua tu, Mou anaingia Sokoni.
Nilichogundua timi ikiwa na mastaa wengi makocha wanapata tabu sana kupanga vikosi na kuita wachezaji kwa mfano spain,argentina na german hata brazil naona hilo suala linaibukaSpain aikuwa vizuri na aswa kitendo cha kubadilishiwa kocha ghafla nahisi kimewatoa katika ushindani kabisa
Fred has completed his medical at Carrington today ahead of his move to Manchester United. It will be announced officially within 24 hours. (Source: @CraigNorwood)
Spain ilipochukuwa world cup ilikuwa haina mastar??Nilichogundua timi ikiwa na mastaa wengi makocha wanapata tabu sana kupanga vikosi na kuita wachezaji kwa mfano spain,argentina na german hata brazil naona hilo suala linaibuka
Mpira unabdilika sana, asitarajie kila siku timu kubwa itashnda.Spain ilipochukuwa world cup ilikuwa haina mastar??
Germany ilipochukua world cup ilikuwa haina mastar???
Nisaidie hapo mkuu
Kuna mahali nimeandika timu haikubeba kombe kwa kuwa kuna mastaa? Jaman tusome post vyema NIMESEMA MAKOCHA WENGI WANAPATA TABU KUPANGA VIKOSI NA KUITA WACHEZAJI TIMU IKIWA NA MASTAA WENGI.Mpira unabdilika sana, asitarajie kila siku timu kubwa itashnda.
Hawapati tabu hata kdgo, kocha ndyo mwalimu mwenye maono yupi atamfaha au yui hamfahi, kitendo cha kupoteza mech kwa timu kubwa ni kawaida sana.Kuna mahali nimeandika timu haikubeba kombe kwa kuwa kuna mastaa? Jaman tusome post vyema NIMESEMA MAKOCHA WENGI WANAPATA TABU KUPANGA VIKOSI TIMU IKIWA NA MASTAA WENGI.
Ok.Hawapati tabu hata kdgo, kocha ndyo mwalimu mwenye maono yupi atamfaha au yui hamfahi, kitendo cha kupoteza mech kwa timu kubwa ni kawaida sana.
Usishangae et kisa kocha anapata wakati mgumu hapana.
Hawapati tabu hata kdgo, kocha ndyo mwalimu mwenye maono yupi atamfaha au yui hamfahi, kitendo cha kupoteza mech kwa timu kubwa ni kawaida sana.
Usishangae et kisa kocha anapata wakati mgumu hapana.
Nilikuwa mbishi kama wewe na nilikuwa mbishi katika ukweli, nilibisha ili nijue kama niko sahihi kumbe nilikuwa najua jibuHii Kauli Yako Ya Kuwa Kocha Ndiye Anayeona Yupi atamfaa na Yupi Hamfai sikubaliani Nayo Hata Kidogo Kwani Tumeona Mifano Ya Wazi Makocha Walivyoingia Chaka Katika Kuchagua Wachezaji Kwamfano.
1) Kocha Wa Serbia Aliyetimuliwa Wakati Wa Kuelekea Russia; Huyu Kocha Alijaribu Kutuaminisha Kuwa Milinkovic Savic Kuwa Hana Kiwango Cha Kuchezea timu ya Taifa Jambo ambalo Waserbia Wakaprotest Mpaka Akatimuliwa na Hatimae Kocha Mpya Akamwita. Na Shuhuli Yake Kwenye Wodi Kap sote tumeiyota alivyokuwa Akiicontrol Midfield.
2) Joachim Low: Huyu Kocha Alitaka Kuwaaminisha Watu Kuwa Draxler na Brandt Ni Bora na Wanaweza Kuoffer Vitu Vingi Kuliko Leroy Sane... Ukweli Usiofichika Leroy Sane Si Mchezaji Wa Kuachwa Katika Kikosi cha Germany! Hapa Kocha Hakujua nani anamfaa na Nani Hamfai.
3) Sampaoli: Kitendo Cha Kutomuanzisha Aguero Katika Mechi Zidi Ya France Ni Kosa ambalo atalijutia! Hapa Kocha Hakujua nani Atamfaa na nani Hamfai. Au unataka na wewe Kutuaminisha Kuwa Kocha Alikuwa Sahihi Kutokumuanzisha Aguero na Dyabala?
Sometimes Ukubali Kuwa Makocha Wanashindwa Kuchagua Wachezaji Sahihi.
Kufanya vibaya kwa timu ni kombination ya vitu vingi sio kuachwa kwa mchezaji mmoja hata Sane angekuwepo still Germany angefungwa kuanzia beki hadi ushambuliaji walikuwa wabovuHii Kauli Yako Ya Kuwa Kocha Ndiye Anayeona Yupi atamfaa na Yupi Hamfai sikubaliani Nayo Hata Kidogo Kwani Tumeona Mifano Ya Wazi Makocha Walivyoingia Chaka Katika Kuchagua Wachezaji Kwamfano.
1) Kocha Wa Serbia Aliyetimuliwa Wakati Wa Kuelekea Russia; Huyu Kocha Alijaribu Kutuaminisha Kuwa Milinkovic Savic Kuwa Hana Kiwango Cha Kuchezea timu ya Taifa Jambo ambalo Waserbia Wakaprotest Mpaka Akatimuliwa na Hatimae Kocha Mpya Akamwita. Na Shuhuli Yake Kwenye Wodi Kap sote tumeiyota alivyokuwa Akiicontrol Midfield.
2) Joachim Low: Huyu Kocha Alitaka Kuwaaminisha Watu Kuwa Draxler na Brandt Ni Bora na Wanaweza Kuoffer Vitu Vingi Kuliko Leroy Sane... Ukweli Usiofichika Leroy Sane Si Mchezaji Wa Kuachwa Katika Kikosi cha Germany! Hapa Kocha Hakujua nani anamfaa na Nani Hamfai.
3) Sampaoli: Kitendo Cha Kutomuanzisha Aguero Katika Mechi Zidi Ya France Ni Kosa ambalo atalijutia! Hapa Kocha Hakujua nani Atamfaa na nani Hamfai. Au unataka na wewe Kutuaminisha Kuwa Kocha Alikuwa Sahihi Kutokumuanzisha Aguero na Dyabala?
Sometimes Ukubali Kuwa Makocha Wanashindwa Kuchagua Wachezaji Sahihi.
Hii Kauli Yako Ya Kuwa Kocha Ndiye Anayeona Yupi atamfaa na Yupi Hamfai sikubaliani Nayo Hata Kidogo Kwani Tumeona Mifano Ya Wazi Makocha Walivyoingia Chaka Katika Kuchagua Wachezaji Kwamfano.
1) Kocha Wa Serbia Aliyetimuliwa Wakati Wa Kuelekea Russia; Huyu Kocha Alijaribu Kutuaminisha Kuwa Milinkovic Savic Kuwa Hana Kiwango Cha Kuchezea timu ya Taifa Jambo ambalo Waserbia Wakaprotest Mpaka Akatimuliwa na Hatimae Kocha Mpya Akamwita. Na Shuhuli Yake Kwenye Wodi Kap sote tumeiyota alivyokuwa Akiicontrol Midfield.
2) Joachim Low: Huyu Kocha Alitaka Kuwaaminisha Watu Kuwa Draxler na Brandt Ni Bora na Wanaweza Kuoffer Vitu Vingi Kuliko Leroy Sane... Ukweli Usiofichika Leroy Sane Si Mchezaji Wa Kuachwa Katika Kikosi cha Germany! Hapa Kocha Hakujua nani anamfaa na Nani Hamfai.
3) Sampaoli: Kitendo Cha Kutomuanzisha Aguero Katika Mechi Zidi Ya France Ni Kosa ambalo atalijutia! Hapa Kocha Hakujua nani Atamfaa na nani Hamfai. Au unataka na wewe Kutuaminisha Kuwa Kocha Alikuwa Sahihi Kutokumuanzisha Aguero na Dyabala?
Sometimes Ukubali Kuwa Makocha Wanashindwa Kuchagua Wachezaji Sahihi.
Yule jonestone kaenda westbrom..ndo kafanya replacementMou kaongeza tena mzee mmoja golikipa...ha ha