Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Hazard kasema usajili ukiwa mbovu anaondoka, wakisajil;iwa wachezaji wazuri atabaki kwa sababu yeye anataka vikombeHazard uyo anapita kaeni chonjo wakuu
Meneja wa Manchester United Jose Mourinho amefuta akaunti yake ya Instagram kutokana na matusi ambayo aliyoyapata baada ya mashetani hao wekundu kushindwa kwenye fainali ya kuwania kombe la FA dhidi ya Chelsea. (Sun)
Manchester United imekubaliana katika hatua za kwanza na kiungo wa kati kutoka Brazil Talisca, 24 ambaye amekuwa kwenye mkopo na Besiktas kutoka Benfica. (Star)
Klabu ya Utaliano ya AC Milan imempatia kiungo wa kati wa Manchester United Marouane Fellaini,30, mkataba wa miaka mitatu huku kiungo huyo raia wa Ubelgiji kuwa huru kwa uhamisho wa bure katika majira ya joto. (Times - subscription required)
Bila shaka huyo Talisca atakuwa mkubwa kiumbo,Mou ni tatizo namba moja pale united akifuatiwa na pogba.
Una taarifa kwamba Radja nainggolan ameachwa katika kikosi cha Belgium halafu Fellain ameitwa?Mou ndo ana jibu maana anamlea lea
Una taarifa kwamba Radja nainggolan ameachwa katika kikosi cha Belgium halafu Fellain ameitwa?
Sijui ni nini makocha huona sisi hatuoni.
DisciplineUna taarifa kwamba Radja nainggolan ameachwa katika kikosi cha Belgium halafu Fellain ameitwa?
Sijui ni nini makocha huona sisi hatuoni.
Yondani nae yupo huru jamani manure hamumuhitaji maana atawafaa sana....Kwa hiyo mtu alietolewa na timu kama benfica kwa mkopo sisi ndo tunanunuaau kiwango chake kikoje hahaa.
Hapo alipo anamtamani sana Yaya Toure ila hajui ataanzia wap!Man united hii ya mourinho inaweza hata kumsajili peter crouch
Ndo hivo nilicheza na nmekupiga.Kacheze wewe basi na Chelsea yako.
nilibahatika kuiangalia game ya marseille na besiktas robo fainal europa nje ndani huyo talisca hafai hata kulumangia anaupiga mwingi mnoMeneja wa Manchester United Jose Mourinho amefuta akaunti yake ya Instagram kutokana na matusi ambayo aliyoyapata baada ya mashetani hao wekundu kushindwa kwenye fainali ya kuwania kombe la FA dhidi ya Chelsea. (Sun)
Manchester United imekubaliana katika hatua za kwanza na kiungo wa kati kutoka Brazil Talisca, 24 ambaye amekuwa kwenye mkopo na Besiktas kutoka Benfica. (Star)
Klabu ya Utaliano ya AC Milan imempatia kiungo wa kati wa Manchester United Marouane Fellaini,30, mkataba wa miaka mitatu huku kiungo huyo raia wa Ubelgiji kuwa huru kwa uhamisho wa bure katika majira ya joto. (Times - subscription required)
nilibahatika kumuona jamaa anaujua mnoKwa hiyo mtu alietolewa na timu kama benfica kwa mkopo sisi ndo tunanunuaau kiwango chake kikoje hahaa.