Timu ya arsenal imejitutumua leo na kufungwa kwa taabu na Manchester United katika uwanja wa old Trafford na hii imekuwa njia nzuri ya kumuaga mkufunzi wa timu hiyo anaeondoka mwisho wa msimu. Na huo ndio mwisho wa taarifa za michezo. Khabari hii kama ingesomwa na Ummy lkheri na ile sauti yake ingependeza sana.
Kwa takwimu hizi, Arsenal walizidiwa sana. Dakika 90 hakuna kona hata moja.
Kumiliki mpira: United 59% Arsenal 41%
Shots: United 17 Arsenal 8
Shots on Target: United 3 Arsenal 3
Corners: United 9 Arsenal 0
Namba 9(target man) anatakiwa awe na uwezo wa ku hold mpira. Anapopewa pasi anaweza kuwa peke yake hivyo ana hold hadi attacking players wenzie waje anawapa yeye anafunguka tena.
Lukaku ni very good target man coz he is very powerful, shida yake ni moja tu POOR FIRST TOUCH. Akipewa mipira anapoteza sana kwa kukosa ball control.
Mfano wa ku hold mpira refer goli la kwanza alilofunga dhidi ya Liverpool OT.
Martial n mzur lkn anatakiwa kuingia uwanjan mkiwa mnaongoz hata tatu bila lkn kumuingiza huyu jamaa ukatafute ushindi ni kazi bure mbwembwe nyingi mnoo
Martial n mzur lkn anatakiwa kuingia uwanjan mkiwa mnaongoz hata tatu bila lkn kumuingiza huyu jamaa ukatafute ushindi ni kazi bure mbwembwe nyingi mnoo