Hivi msimu uliopita uliifunga Manchester United katika EPL??√ Last Season ilikuwa Ni Zamu Yangu Kutandika Vigogo Wa Top 6.
√ This Season Ni Zamu Ya Man City na Wewe Kutandika Vigogo Wa Top 6.
√ Next Season Ni Zamu Ya Arsenal Kutandika Vigogo Wa Top 6.
Liverpool haikumfunga United last season na United imezifunga timu zote 19 kwenye ligi√ Last Season ilikuwa Ni Zamu Yangu Kutandika Vigogo Wa Top 6.
√ This Season Ni Zamu Ya Man City na Wewe Kutandika Vigogo Wa Top 6.
√ Next Season Ni Zamu Ya Arsenal Kutandika Vigogo Wa Top 6.
Tuna misimu minne kamili sasa Liverpool hajaifunga Manchester United Premier League mchezo hata mmoja, imechezwa michezo 8, United kashinda 5 draw 3Liverpool haikumfunga United last season
Tuna misimu minne kamili sasa Liverpool hajaifunga Manchester United Premier League mchezo hata mmoja, imechezwa michezo 8, United kashinda 5 draw 3
Livapuli is our bitch looong time man, kama ulikua hujui ngoja nikuambie:Washageuka arsenal wetu tena
√ Last Season ilikuwa Ni Zamu Yangu Kutandika Vigogo Wa Top 6.
√ This Season Ni Zamu Ya Man City na Wewe Kutandika Vigogo Wa Top 6.
√ Next Season Ni Zamu Ya Arsenal Kutandika Vigogo Wa Top 6.
Katika rekod king ngwaba za hapa karibun city anafungwa sana na united nyumban kwake nae city huwa anabahat ya kushinda old trafford binafs sikuona kipya ktk misimu mitatu city kapigwa mech mbili kwake suluh moja
Hahahhaaa, King Ngwaba Acha kuchekesha tulionuna. Hiyo namba 3 very funny for real.√ Last Season ilikuwa Ni Zamu Yangu Kutandika Vigogo Wa Top 6.
√ This Season Ni Zamu Ya Man City na Wewe Kutandika Vigogo Wa Top 6.
√ Next Season Ni Zamu Ya Arsenal Kutandika Vigogo Wa Top 6.
Wewe unauwezo wa kuchukua nini kwa mfanoHamna uwezo wa kumpita hata spurs ila mna uwezo wa kuchukua uefa?
Hivi nyie vikongwe mna matatizo gani lakini ?
Hahahhaaa, King Ngwaba Acha kuchekesha tulionuna. Hiyo namba 3 very funny for real.
Afu msimu uliopita kwani ulitufunga?? Si tulitoka sare mechi zote mbili.
Last season ulitandika wote lakini sio Man United.
Liverpool haikumfunga United last season na United imezifunga timu zote 19 kwenye ligi
Hivi msimu uliopita uliifunga Manchester United katika EPL??
aende tu kwani sokoni wachezaji bora wameisha? kiburi kiburi tuMartial kuna tetesi kuwa kagoma kuongeza mkataba..anataka kuondoka..wadau mnasamaje juu ya hili?
Livapuli is our bitch looong time man, kama ulikua hujui ngoja nikuambie:
Manchester united ndio timu iliyoifunga livapuli mara nyingi kuliko timu nyingine
Manchester united ndio timu iliyoifunga livapuli nyumbani kwake mara nyingi kuliko timu nyingine.
So kusema wamegeuka arsenal wetu ni kuwakosea heshima arsenal. Livapuli is our bitch tunawafanya chochote tunachojisikia.
Ujio wa Sanchez umesababisha kuwekwa bench,It will be big mistake/loss kumuuza MartialMartial kuna tetesi kuwa kagoma kuongeza mkataba..anataka kuondoka..wadau mnasamaje juu ya hili?
Kumchukua mkeoWewe unauwezo wa kuchukua nini kwa mfano
Imagine getting advice from unlucky human who born with chromosomal disease called LFC syndromeWewe Si Mshabiki Wa Mpira Bali Ni Mshabiki Wa Manchester United tu.
Sasa wenzio Humu Ni Washabiki Wa Mpira Kwa Ujumla Ndani Yake Wakiipenda Man United.
My free Advice to You "Find Psychiatrist to Cure Your Mental Disorder before too late because it is obviously you are suffering from schizophrenia that is why avery time you're uttering 'Liverpool' 'Liverpool' and nothing else".
Mau ni nani?Mau akimpenda mchezaji atajitahidi kumfanya kila mtu ampende (kumpa chances,kumkingia kifua ndani na nje ya uwanja)mfano,fellain.
Nafikiri Mau bado anampenda POGBA ingawa lolote linaweza kutokea.
Itakuwa ni hasara kubwa nyingine hii. Mimi nimesikia piaMartial kuna tetesi kuwa kagoma kuongeza mkataba..anataka kuondoka..wadau mnasamaje juu ya hili?