Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mambo ni rahaaa!!! GGMU. watu bana sasa tumeshinda mnataka tunune? Hata waswahili wanasema ukipata furahi ukikosa kijutie...... let us talk yooooooo werevaaaa Mou in!!! Akichemsha out yaani mambo ndo hivyo.....sasa mnataka tununeeee....hanuni mtu huku kwetu rahaaa mambo ni motoooooooo!!!!!!!!!!
 
kipindi Barcelona wanafungwa 7 na bayern mechi ya kwanza 4-0 na mechi ya pili 3-0 hakuwa kocha huyu? au wanamaanisha all competition.
Kocha alikuwa the late Tito Vilanova.

Guardiola alikuwa kwenye mapumziko ( hakuwa na timu ) mara baada ya kumaliza mkataba wake na Barcelona.
 
Kilichobakia ni kwa Mou ampige chini martial amnunue Willian kwa gharama yeyote ile
 
Kumbe Nyinyi Jana Mulipomfunga City Mulibeba Kombe? Hongera Mkuu Kwa Kuadd one Trophy huo usiku Wa Jana.
You have a masters in stupidity, naongelea kuhusu msimu we unaleta habari za jana, how people lyk u manage to get an access on this platform?
 
Vikongwe wa makumbusho wameumia sana sisi kumfunga city kuliko city wenyewe, walitaka wabaki na kombe lao la livapuli ndio timu pekee iliyomfunga man city kwenye ligi bahati mbaya kitumbua kimeingia mchanga.
 
Baada ya kutanguliwa kufungwa goli mbili na City Mourihno hakuwa na jinsi zaidi ya kuiruhusu timu kucheza/kushambulia zaidi kuliko kuizuia City kama ilivyokuwa kipindi cha kwanza, kwa kubadili mfumo na kumsogeza mbele Pogba nyuma ya Lukaku creativity ya timu iliongezeka, na tuliona Pogba alichokifanya, Sachenz.

Mourihno akiamua kubadilika kimfumo na kucheza mpira nadhani tuna timu nzuri kuliko timu yeyote EPL.

Kikosi cha Man United kina mseto mzuri mno tatizo ni Kocha na Falsafa zake.

Hii imepelekea wachezaji wengi kucheza chini ya kiwango, tumeona kushuka kwa kiwango kwa Martial, Rashford n.k.

Kuna aina flan ya mpira tunaikosa pale Old Trafford, tunakosa consistency match baada ya match, tunashinda kwa bahati na si kwa soka.

Timu inakosa Creativity pale mbele ingawa tuna Pogba, Sanchez, Matic na Super Herera.

Sisi tunaolalamikia kocha shida yetu ni kocha kubadilika kifalsafa, kimbinu n.k ili wachezaji wawe huru uwanjani na kutupa matokeo tarajiwa.

Tukumbuke mifumo yote huanzia katika eneo la Kiungo, sioni matumizi sahihi ya Matic tofauti na msimu uliopita.

Binafsi niliamini kuifunga City kwao, rekodi za Mou ni ngumu kumfunga nje ndani, mara chache sana.
 
Kilichobakia ni kwa Mou ampige chini martial amnunue Willian kwa gharama yeyote ile
Unauza ferrari unanunua vitz biashara kichaa kuwah kutokea duniani

Martial 23 years willian 29
Kuna muda tusiwe tunasubilia kuangilia wachezaj wetu siku za mech tu fuatilia kiundan zaid utagundua martial sio mchezaj mdogo
Kwanza hata sijui mourinho kama ataeleweka kwa huo ujinga kwa sasa timu inajengwa ya muda mrefu huyo mzee wako willian aende wap? Nimekudharau mkuu utanisamehe


Kwa nn humnyooshei mkono rashford na lingard? Mchango wao unatofaut gani na martial? Wote ni wachezaj wadogo kiumri wanaendelea kujifunza na kuvumiliwa


Kama hujui yule beckham tunaemuona namba 7 icon wa timu alitolewa hadi kwa mkopo kuboresha kiwango kwa nini sir alex hakumfukuza?
 
You have a masters in stupidity, naongelea kuhusu msimu we unaleta habari za jana, how people lyk u manage to get an access on this platform?


Kumzarau Mtu Haimaanishi Kuwa Ndiyo umejengea Hoja Ulichokizungumza! Bali Ni Dalili Ya Udhaifu Wa Mzungumzaji.

Jaribu Kujenga Hoja! Kwanza Ungekiangalia Kile ulichokiandika Mwanzo ambacho Ndiyo nilochokijibu halafu ukarekate na Hiyo Post Yangu.
 
Vikongwe wa makumbusho wameumia sana sisi kumfunga city kuliko city wenyewe, walitaka wabaki na kombe lao la livapuli ndio timu pekee iliyomfunga man city kwenye ligi bahati mbaya kitumbua kimeingia mchanga.


Hakuna Aliyeumia Hata Mmoja Kwasababu Ni Ushindi Usiotuathiri Sasa wala Nyinyi.
Kama Unawaza Sisi Tunataka Nafasi Yako Ya Pili Basi You are wrong Coz sote Liverpool Tunaelewa Tokea Mwanzo Wa Msimu Kuwa Hatuna Uwezo Wa Hata Kumpita Spurs tukakamata Nafasi Ya Tatu achiliambali Man U.
Nadhani Ni [HASHTAG]#Malafyale[/HASHTAG] peke Yake Ndiye Mwenye Ndoto ya Kumaliza Nafasi ya Pili Msimu Huu.

Sisi Tulifurahi Mulipotanguliwa Kwa Goli 2 Kwasababu Ni Kawaida Yetu Wapinzani Kuombeana Njaa.

Lakini Muliposhinda Hatukucomment Chochote wala Hatukukosoa Ushindi wenu Bali tuliremain Silent.

Lakini Kama Utakumbuka Ni Wewe ndiye Uliyeanza Kuwashwawashwa Ukaanza Kuijadili [HASHTAG]#Liverpool[/HASHTAG] Badala Ya Kujadili Ushindi Wako! Hapo Ndiyo Nikaanza Kukujibu.

Kwahiyo Wewe Jipe Promo Kuwa Tumeumizwa Na Ushindi Wenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…