Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,296
- 68,376
Wow! Wow! Wow! Hureeee....
Unbelievable!
Sure... For so long this outstanding performance i didnt see coming.Unbelievable!
De gea alifanya save mbili tu za wazi leo. Unataka kusemaje tena.Hongereni kwa ushindi mnono ila timu yenu bado kabisa . Ni mwaka wa De Gea huu ama sivyo msingekuwa mlipo.Najua city watalibeba eventually ila sikutaka Pep alibebe kirahisi rahisi bila maumivu. Nasubiri Liverpool wawagonge City j4.
Hivi na wao walikuwa wakwanza kutupiga OT this season?Unbelievable!
Walikuwa na mzuka sana wa champgneHawa watangazaji Jim Beagley na Drury wanaichukia sana Man Utd.
Walituharibia ile rekodi, walikuwa wa pili.Hivi na wao walikuwa wakwanza kutupiga OT this season?
Wao walikuwa wa kwanza kutufunga 2-1 since the previous season which again was 2-1 to themHivi na wao walikuwa wakwanza kutupiga OT this season?