BroohKuna mtu anaitwa Malafyale . Huyu alikuwa anasema anakuja OT kuchukua point tatu. Alifikiri wanavyowakimbiza Wes Brom kama mbuzi ni sawa na kucheza na Red Devil!
Huwa namkumbuka Fergie anakwambia 'Man Utd will give u different problems'
Mkuu tuache mahaba, Sanchez kacheza vizuri leo kitimu kulinda.
Kuna mtu anaitwa Malafyale . Huyu alikuwa anasema anakuja OT kuchukua point tatu. Alifikiri wanavyowakimbiza Wes Brom kama mbuzi ni sawa na kucheza na Red Devil!
Huwa namkumbuka Fergie anakwambia 'Man Utd will give u different problems'
KhooooookhooYale masifa aliyokuwa anamwagiwa Salah leo hamwagiwi??
Kweli young ni mtu mbaya
Nini kifanyike?Hakucheza Vizuri Kuanzia uwanjani Mpaka Kwenye Stats pia hayupo Vizuri.
Aisee we mtu nilikumiss sanaKhooooookhoo
Pole sana mkuuHakucheza Vizuri Kuanzia uwanjani Mpaka Kwenye Stats pia hayupo Vizuri.
Mkuu Hapa Hujaongea Kitu!!!
√ Wanaoichukia Arsenal ni Man U+Liver+Chelsea+ManCity.
√ Wanaoichukia ManCity ni Liver+Arsenal+Chelsea+ManUnited
√ Wanaoichukia Liverpool ni Man U+Arsenal+Chelsea+ManCity
√ Wanaoichukia Chelsea ni Liverpool+Man U+Arsenal+ManCity
So, Post yako ni meaningless..
Nipo kaka. Nawasubiri vijana wa Liverpool waliojihakikishia 3pts OT......walifikiri OT ni kama Hawthorns!Brooh
Upo..!
Sie tunapiga tuu
Nimekuja nisije nikakosa supu ya jogoooAisee we mtu nilikumiss sana
Hahahaa!Nipo kaka. Nawasubiri vijana wa Liverpool waliojihakikishia 3pts OT......walifikiri OT ni kama Hawthorns!
Una roho ngumu wewe HAHAHAAAA, hivi aliekiharibu kiungo chenu kipindi cha kwanza ni nani? Hahahaaaa we jamaa weweYale Misifa Aliyokuwa Akimwagiwa Tommy Leo hamwagiwi?
Emre Can ni Mtu Mbaya.