Hureee leo ushindi mwepesi. Rashford in, naona watu wanavyokimbizwa kule kushoto maana nina uhakika na Young ni mkongwe na ana uwezo mkubwa sana wa kupanda na kushuka. Valencia na Mata ni balaa. Hii winga ya kulia itakuwa motooooo. Na kizuri zaidi yule kijana mvivu mvivu #Martial# hayupo. GGMU