Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Not many players could do that to Kante
Not many players could do either of these two things to Kante, who was labelled as the best midfielder in Europe by Frank Lampard last season.
But then Pogba is no ordinary footballer
Pogba akiwa huru kaa nae mbali muda ni hakim huyu mtu mtamuelewa tu.
This is only a picture! But the real show is different..
Kule tulipokuwa tunapazungumzia zimefika tatu!kaangalie marudio uone baada ya kumtupa pembeni
Washakufa haoooKule tulipokuwa tunapazungumzia zimefika tatu!
Pana jamaa alitabiri watakuwa mabingwa msimu huu sijui alikuwa ana maanisha au maskhara!Washakufa haooo
Huyu kishort alipata tabu kweli
Kwaiyo waliamua tu kupiga hilo pozi?This is only a picture! But the real show is different..
Huyu kishort alipata tabu kweli
Hahahaha hatar kwelKwaiyo waliamua tu kupiga hilo pozi?
Mkuu watu huwa wanajitia hawaoni kazi ambayo huwa anaifanyaAlafu kuna mtu anasema ni picha tuu
Mateso bila chuki hapa utaambiwa kamnyanyasa sababu ya kimo chake! Ila acha akome asili ya watu hawa ni WABISHI
Paki basi! Si unaona limecholwa basi na matairi yake?Ina maana gani ?