Huyu Pogba nae asitupande kichwan ndio maana babu fergie alikuwa mbabe enz zake hakupenda huu upuuzi Rooney tu ndio alimtingshaKiungo wa kati mfaransa Paul Pogba yuko tayari kuondoka Manchester United ikiwa meneja Jose Mourinho ataendelea kuwepo Old Trafford. (Sun on Sunday)
Siyo kawaida mzee. Tokea Oct. 30, 1937, zao la Man United academy lazima liwepo kwenye benchi ama starting 11. Miaka 81 hiyo!
Ebu taja timu nyingine iliyofanya hivyo.
Umefafanua vizuri aisee mm ni 1 ya watu waiso muelewa JM na mfumo wake namna anvyo watumia wachezaji katika nafasi zao lakin huwa najua anachofanya kama kochaFalsa
falsafa ya Mou ndio hamjaielewa na sidhani kama mtaielewa. Falsafa za mpira hutofautiana kutoka kocha kwenda kocha mwingine. Kocha wa kaliba ya Mou hawezi kuja Man United halafu nyie ndio mumpe formation ya kucheza. Kama hamkutaka falsafa yake mabosi waliompa mkataba walijua fika nini Mou anawaza na atafanya nini.
Makocha wote uliowataja kila mmoja kafukuzwa kwa makosa tofauti. Na kazi ya ukocha ndio pekee iliyobaki duniani na falsafa ya kuajiri na kufire
Mou hakufukuzwa Chelsea kwa sababu ya falsafa yake mbovu au haifai bali kuokoa jaahazi kwa sababu ya kutofautiana na baadhi ya wachezaji muhimu kwenye timu. Kwa silimia 70-80 makocha wengi hufukuzwa kwa sababu hiyo hiyo ya Mou pale Chelsea
Niseme kuhusu falsafa ya kupaki mabasi. Kila kocha anaitumia hiyo falsafa isipokuw tu hawafanyi rasmi. Mou alipohojiwa juzi juzi almuuliza muuliza swali nenda kawaulize akina Keane enzi zake akipoteza mpira katikati ya uwanja je atabaki katikati ya uwanja au atarudi nyuma kukaba? jibu ni kwamba atarudi kupaki mabasi!
Timu inayozidiwa lazima ipaki mabasi na timu nzuri obviously haiwezi kupaki mabasi bali itacheza mpira. Makocha wote wanafahamu hili
Kamuulize Luiz Felipe Scolari kocha wa Brazil kuwa angepewa nafasi ya pili ya kucheza na timu nzuri kama ya Ujerumani angeshambulia lakini pia angepaki mabasi ili asifungwe magoli ya aibu 7 kwa nunge kama yale Brazili iliyofungwa kwenye kombe la dunia la 2014
Kwa ufupi falsafa ya Mou siku zote itaonekana mbovu kwa timu mbovu na itaonekana nzuri kwa timu nzuri. Na kwa bahati mbaya falsafa zote hata hii ya Pep inakuwa mbaya kwa timu mbovu na inakuwa nzuri kwa timu nzuri.
Wewe huwezi kufikiri kwa falsafa hiyo hiyo Chelsea ya 2004 na 2005 jumlisha ile ya 2014 ilikuwa sio tu timu iliyokuwa ikicheza mpira bali pia iliyovunja rekodi nyingi za EPL ambazo baadhi ya rekodi sasa ndio inataka kuvunjwa na Man City
Unasema tokea mwaka 1990? Umeona United ni tokea mwaka 1937!!Ni Liverpool pia Mkuu! Au labda Ukatae tu..
Zikushuhudia Enzi za Kina Kaven Keegan! Lakini Nimeshuhudia Kizazi cha Kuanzia Miaka ya 1990 mpaka Leo basi Liverpool Haijawahi Kukosa Kizazi Cha Academy First XI au Kwenye Bench.
Unasema tokea mwaka 1990? Umeona United ni tokea mwaka 1937!!
Kwani mimi nimeshudia kuanzia hiyo mwaka 37? Si kuna historia na kumbukumbu mzeeiya?Nimesema Mwanzo Kuwa Sikushuhudia Kizazi Kabla Ya Hapo!
Kwahiyo Kuwa Sikushuhudia Haimaanishi Kuwa Hawakuwepo Wachezaji Wa Academy Enzi Hizo! Bali Ningelisema Kuanzia Mwaka 1937 Ningelishindwa Kutetea Hoja Kwani Ungeniambia Nikutajie Mmoja tu Basi Ningelishindwa Kumtaja. Na Ndiyomana Hata wewe sitaki Kukuuliza.
Lakini Kwa Kizazi cha Kuanzia 1990 ukinitaka Nikutajie Basi Nitasimamia Hoja Yangu.
Kwahiyo Sikusudii Kusema Kuwa Tumeanza Kuchezesha Wachezaji Wa Academy Mwaka 1990! Bali nimetaja Zama Zangu tu!
UNITED ni kila match squad (18 players) wanaoitwa kwenye mechi kuwa na academy product Liverpool hawana hiyo recordNa Liverpool pia Mkuu! Au labda Ukatae tu..
Sikushuhudia Enzi za Kina Kaven Keegan! Lakini Nimeshuhudia Kizazi cha Kuanzia Miaka ya 1990 mpaka Leo basi Liverpool Haijawahi Kukosa Kizazi Cha Academy First XI au Kwenye Bench.
Ila waingereza wasije kuanza kumuaribu kwa kumpachika masifa
Naomba tumtakie huyu dogo kila la kheri katika mitihani yake ya form 6 anayoenda kuanza leo jijini Manchester
Pepa la necta
Naomba tumtakie huyu dogo kila la kheri katika mitihani yake ya form 6 anayoenda kuanza leo jijini Manchester
Manchester United: De Gea (7), Varela (7), Carrick (6), Blind (6), Rojo (6), Schneiderlin (6), Herrera (7), Mata (7), Depay (7), Lingard (6), Rashford (8).UNITED ni kila match squad (18 players) wanaoitwa kwenye mechi kuwa na academy product Liverpool hawana hiyo record
Lingard zao la van gaal? Alifunga holi ngap chini ya van gaal? Alikuwa maarufu? Huyo essien na drogba walikuwa ni wachezaj waliokuwa wakifahimika kwamba wakija epl wataonesha maajabu?Ana pafu karibu ya (the three lungs )ji sung park anajituma sana ndio maana mou humwambii kitu kuhusu Lingard
Aah kumbe na wewe ni wa hukuWe the Reds....Chelsea hawakutegemea tulichowafanyia Jana..
He he he he he heee. Naanzaje kushangilia team za kishamba!!Aah kumbe na wewe ni wa huku
Ila mnajua kuchekesha. Eti akakamilisha majukumu yakekwa ni mara ngapi na sisi tumemuanzisha Hudson Odoi
Tatizo lenu nyie vitu vidogo mnataga kuvifanya viwe vikubwa na wakati ni vya kawaida ndio tatizo la mashabiki wa Manure