Itakuwa ni vizuri zaidi kama ikitokea tutatoka sare, iwe sare ya magoli (1-1, 2-2, 3-3)
Sare ya 0 - 0 ina changamoto sana, kwani Sevilla wakifunga goli 1 ndani ya Old Traford itabidi Utd tushinde hiyo mechi ili tuweze kufuzu
Ila itakuwa ni vizuri zaidi kama tutaweza kushinda mechi hii ya leo