Nipe ripoti mkuuJirani zangu mtateseka sana tu. Kocha wenu kazoea mpira wa kizamani.
Mimi hapa Ni muumini wa Guardiola unasemaje ???.Misukule wa Fraudiola inapita kama haijui kilichotokea.
Wigan athletic 1-0 man shitty
Kuna watu wanamdharau sana mourinho na kumtusi kama unamchezesha scott na unashinda kwa nn usimheshimu kocha?Misukule wa Fraudiola inapita kama haijui kilichotokea.
Wigan athletic 1-0 man shitty
Hahahaha. Kocha kazingua mkuu, wigan hatuna record nzuri nayo, alafu anaweka kikosi chakawaida.Nipe ripoti mkuu
Mkuu kwani Manchester haijawahi kufungwa na HUDDLESFIELD???Kuna watu wanamdharau sana mourinho na kumtusi kama unamchezesha scott na unashinda kwa nn usimheshimu kocha?
Jana kikosi cha city kilichopigwa na wigan ukiuza mabek wawili labda umeongeze na aguero unainunua wigan yote
But xavi said goals doesn't matter...
Please move to the next round with ur possession hahahahahaha
Hahaha pole mkuu kayeke kumbe na nyie mnamlaum pep nlijua ni huku tuHahahaha. Kocha kazigua mkuu, wigan hatuna record nzuri nayo, alafu anaweka kikosi chakawaida.
Hahahaha asante mkuu, unajuw jana nilisema mapema tu, sasa ndo yakatokea, ukweli lawama zote namtupia kocha.Hahaha pole mkuu kayeke kumbe na nyie mnamlaum pep nlijua ni huku tu
Pole sana JiranHahahaha asante mkuu, unajuw jana nilisema mapema tu, sasa ndo yakatokea, ukweli lawama zote namtupia kocha.
Unauhakika gani mkuu? Umechungulia kule kweti kilichotukuta kule kwa wigan?Zote anashinda,
Sijuwi utoto matusi ya nini sasa? Au ndo wivu wa kike unaokusumbuwa.Misukule wa Fraudiola inapita kama haijui kilichotokea.
Wigan athletic 1-0 man shitty
Asante mkuu. Ngumu kumeza. Pola ufungwe na team ya kweny zile nafasi 6 EPLPole sana Jiran
Kheee sijaonaUnauhakika gani mkuu? Umechungulia kule kweti kilichotukuta kule kwa wigan?
Haya sawaKheee sijaona
Nimeona maajabu haya, hivi Wigan ni timu kweli ya kufunga mtu jamani jamani jamani. Matusi haya WIGAN ?????????Haya sawa
Nimeona maajabu haya, hivi Wigan ni timu kweli ya kufunga mtu jamani jamani jamani. Matusi haya WIGAN ?????????
Mkuu wigan huw wanatufungagaa sana tu.Nimeona maajabu haya, hivi Wigan ni timu kweli ya kufunga mtu jamani jamani jamani. Matusi haya WIGAN ?????????
Mi nisingeweka hela kubwa. Kwa sababu wigan nakumbuka vizuri walichotufanya 2013-2014Ukweli ninge bet ningeweka laki, heee ningeliwa !!!!