Cc. radikaJonjo shelvy
RealMkuu pogba akijitambua akaacha kukata tamaa atakuwa mchezaji mkubwa mno ifike mahali mou amchezeshe tu namba 10
Kama wamefungwa mawe maziiiiito mgongoni hahahahaTatizo man u hakuna viungo wanyumbulifu wote mizigo viungo wakae matic na pogba unategemea nini kama si kipigo! wote wazito!!!
Bila kusahau msimu ulioisha ulikuwa katika hiyo nafasi hahahaha so tunapokezana.....umeingia UEFA kupitia emergency door hahahahahahaMkuu dully jr nakupa namba za bahati kacheze tatu mzuka 6666
Kasomee ukocha ili upewe hiyo kazi ndio utajua kwanini Mourinho anafanya hivyoMourinho out,huyu kocha hatupeleki sehemu yoyote...tunashika nafasi ya pili kwa sababu timu nyingine msimu huu zimetuzidi ubovu kidogo.
Haikuingii akilini kabisa,why smalling anaanza mbele ya lindelof,ambaye tena kocha amemsajili mwenyewe na ameonyesha ukakamavu japo mechi za mwanzo alikuwa hajatulia,ila ni mchezaji mwenye mentality ya kudrive mpira mbele sio kama huyu smalling ambaye miaka na miaka amekuwa akitucost na bado anaendelea kubaki old trafford.
Tuje kwenye swala la pogba,..mourinho nahisi ameshaona kabisa kuwa pogba sio mkabaji mzuri,why aendelee kumpa na role kubwa ya kuwa defensive..why herrera asicheze na matic na pogba akasogea mbele,then unapunguza mtu mmoja mbele and then kuna kuwa na fluidity(pasi zinakuwa zinaflow)...refer mechi mbili za away tulizicheza ambazo lingard,martial,sanchez na lukaku wote walivyokuwepo ndani..timu haina balance kabisa,wanacheza as if huwa hawaendi training kabisa,..fecking pathetic
Tuje kwenye swala la left back..young akicheza kama left back mara nyingi left flank inakuwa haina impact kubwa,anaharibu balance,pale shaw ndo mtu sahihi wa kucheza huku young akiwa yupo bench.
Hii timu yetu tunaipenda ila haitutendei haki kabisa,hata baadhi ya mechi tulizoshinda msimu huu,tumezicheza ovyo,ila tukapata ushindi
Man united kwa miongo kadhaa imekuwa ikijengwa chini ya falsafa ya kushambulia kwa kasi,hii identity imepotea kabisa,timu kwa sasa inacheza kwa kuvizia vizia na kutarajia kupata matokeo chanya bila ya mipango mathubuti.
Liverpool wanaderseve kuwa juu yetu kwenye epl msimu huu,they play a beutifull football,na incase wamepoteza mechi unaona kweli timu atleast ilipambana
Finally,its time for Mourinho to leave japo amepewa contract extension..aje kocha atakayejenga kikosi chenyw mentality ya kupambana na kushinda huku tukicheza futuboli ya kupendeza machoni.
Shabiki mkereketwa wa united ndo nimemaliza.
Alafu nimegundua wengi wanaoponda man u ni wale wanao beti... Limkeka likichanika ana hamishia mihemko yake humu!!
Sijui kama unaelewa mpira vizuri. Namba nane ukipewa majukumu ya kukaba au kusimama mbele ya mabeki wewe ni holding midfielder . Ndicho anachofanywa Pogba hivi sasa hebu soma hiki alichokisema Murphy baada ya Game ya Tottenham
Paul Pogba causing Manchester United defenders 'problems' | Daily Mail Online
Ndivyo alivyo kiasili Pogba hawezi majukumu ya "kuhold" yule ni "free roller ".
So kuchezesha viungo 2 ndio kupaki bus? Na ukichezeshwa namba 6 hutakiwi kwenda kushambulia
Na game ya jana United wamepaki bus ?
Tatizo ni United ni namba 10 ambayo ilimshinda Mikhi anachezeshwa Lingard naye ni mzigo Pogba ni namba 8 sio namba 10 na kuna game nyingi Pogba amecheza the same formation na akacheza vizuri(angalia first 10 games)
Kocha angemuanzisha Mata namba ya Lingard but sio Pogba hata huko Juve hakucheza namba 10
Mkuu pogba akijitambua akaacha kukata tamaa atakuwa mchezaji mkubwa mno ifike mahali mou amchezeshe tu namba 10
Lengo La Kuipost Hiyo Picha Ni Kuonesha Hapo Kuwa:-
• Ukimwangalia Hapo Utaona Kama Anaangalia Mpira, Lakini Ukimtazama Kwa Lakini utagundua Kuwa Yupo Kimwili tu hapo lakini Kiroho na Kiakili hayupo kabisa! Yuko mbali yani.
• Ukweli ni Kwamba Appearance yako hapo inaonesha Kuwa thare is something going on in his mind! Jamaa kuna Kitu kichwani bado kinaonesha Kumchanganya.
• Na Kinachomchanganya ni Wazi Kuwa kinaanza Kumuathiri Kwa Kumuondoshea Confidence awapo uwanjani kwani unaona Wazi Kuwa ni Miguu yake tu Ndiyo inayocheza Mpira lakini akili yake haichezi Mpira Wala haipo hasa Katika Mpira.
Tuache Chuki pembeni! Nibukweli usiofichika Pogba Hawezi Fichwa uwanjani na Dembele (vs Spurs) au Jonjo (vs NEWCASTLE)...
Mtazamo wangu:
√ Kubwa linalozungumzwa ni Kuwa Ujio Wa Sanchez's umemuathiri sana Kwenye Swala la Kimaslahi (Anataka awe na Salary Kubwa Kuliko Sanchez).
Lakini Kwa Maoni Yangu Mimi Najipa imani Zaidi Kuwa Jambo Linalo Mchanganya Ni Kuwa Haridhishwi na Roles and Responsibilities anazopewa na Mourinho uwanjani.
Ni Wazi Kuwa Angelifurahi apewe Majukumu Yaleyale alivyokuwa kakabidhiwa Juventus Kama ni "Creator".
Ni Wazi Kuwa Haridhishwi Kucheza Nyuma ya Wachezaji Wanne (Lukaku, Lingard, Martial and Sanchez) kwa mfano Mfumo Wa 4-2-3-1.
Huenda ikawa Anapenda Arudishiwe Majukumu Aliyokuwanayo Juventus ambayo ni Sawa na Alivyokuwa nayo Coutinho Liverpool. Yani Mbele Yake Kusiwe na Watu Zaidi ya Wawili au Mmoja ili aweze Kuattack Zaidi Golini Kuliko Kuwa Central Playmaker.
Kama Hujanifahamu ni kuwa hi!
Coutinho alipokuwa Liverpool Kwenye Mfumo Wa 4-3-3 utakutia Kuwa Mbele ya Pana Watu Watatu → Salah - Firmino - Mane. Lakini hajawahi Kucheza Nyuma Salah Wala Alikuwa Hachezi Nyuma ya Mane! Bali alikuwa Akicheza Nyuma Ya Firmino tu! Kwahiyo Alikuwa Mipira Nusu anatengeza Chance kwa Washambuliaji (mostly Firmino), na Nusu Anajaribu Mwenyewe Golini ndiyo Mana Kaondoka Akiwa na Magoli 7 ya EPL huku akikosa Michezo tele kwa injury.
Tofauti na Pogba ambaye Anacheza Nyuma ya Sanchez, Lingard, Lukaku na Martial Jambo ambalo linamnyima Uhuru Wa Kuattack na Kuishia Kuwachumia Wao Wakiyakosa.
Huwenda Kuwa Anapenda Awe Nyuma ya Lukaku au Lukaku na Lingard tu.
"NI MTAZAMO TU"
Ndyo life style yangu iyo mkuu mnisamehe bureWell Said..Mda mwingine una madini yaaa maaanaa mda mwingine ndio hv tenaa na matusi juu doo so poa
Hahaa.. UTD fan always like thatdogo ukiona live na kwenye picha ni vitu viwili tofaut ndo mana hakuna aliezungumzia huo mpira ulikuwa mgumu sana kama angepiga asingefunga ilikuwa lazima atulize na kupiga chenga alijikunja sana aliekosa goli la wazi ni martial
Nimecheka sana.
Man United 4-0 West Ham
Swansea 0-4 Man United
Man United 4-0 Everton.......
Manchester United tumapata Coach bana Mourinho atakua ni mrithi sahihi wa Mikoba ya Ferguson.
:
:
Liverpool 0-0 Man United
[ possession 70-30 ]
kikubwa point ball possession waachie Arsenal
:
:
Huddersfield 2-1 Man United
Mourinho sio Coach ni msimamizi wa mazoezi
:
:
Benfica 0-2 Man United
Mourinho ni Coach mzuri sana msimu huu lazima tubebe Uefa.
:
:
Chelsea 1-0 Man United
huyu Coach ni ****** sana hua anaenda kugawa tu point kwenye team yake ya zamani << Mourinho out >>
:
:
Arsenal 1-3 Man United
Guardiola, Conte ,Pochettino, Wenger = Mourinho, hakuna kama Mou huyu Coach akitengeneza ukuta huwez kupita.
:
:
Man United 1-2 Man City
tatizo sio Lukaku ni Mourinho
:
:
Bristol 2-1 Man United
huyu coach tumemchoka aondoke tu bora team apewe giggis Mourinho out out out
:
:
Everton 0-2 Man United
mwaka huu tumeingia na kasi ya ajabu tunaupiga mwingi hadi unamwagika hakuna tena kupaki bus << in mourinho we trust >>
:
:
Leicester 2-2 Man United
Man United 0-0 Southampton
Man United 2-2 Burnley
huyu Coach sijawahi kumkubali tangia aje Manchester United.
:
:
Man United 2-0 Huddersfield
huyu coach aongezewa mkataba naona taratibu kaanza kuirudisha hadhi ya Manchester United.
:
:
Newcastle 1-0 Man United
Mourinho anabebwa tu na umaarufu wa jina lake lakini sio Kocha.
................................................................. hii season ni ndefu sana kuiangalia
Sisi wapenzi tunachojua ni ushindi tu..

Ulitaka tuunge mkono hata uongo?Hahaa.. UTD fan always like that
.

Mimi nakushangaa unapoukataa ukweli na kuupaka vanila uongo.Ulitaka tuunge mkono hata uongo?