Yeth lottah
JF-Expert Member
- Dec 7, 2017
- 1,405
- 2,229
Salute sana mkuuSamahanini Wakuu!
Nahisi Munglielewana Upesi Sana iwapo Kwanza Mutakuwa Tayari Kutofautisha Baina ya "HOLDING MIDFIELDER (Kiungo Mzuiaji) na DEFENSIVE MIDFIELDER (Kiungo Mkabaji).
Munaweza Mukatafuta wenyenye Lakini Manchester Haijawahi Kucheza na Holding Midfielder Wala Haitumii Mfumo huo na Mourinho Tokea Porto, Chelsea, Inter, Real mpaka Man U havutiwi na wala hana Plan Za Kuchezesha Holding Midfielder kwani si Mpenzi wa Wachezaji aina hiyo (Pirlo, Xavi n.k...)
Nadhani Nilipotaja Hayo Majina tu hapo juu basi Mushapata Picha ya Majukumu na Uchezaji Wa Holding Midfielder (Kiungo Mzuiaji anaepoza Move za Maadui).
Kiungo Huyu (HM) ni lazema mbele yake Awe Na Very Talented Central & Wide attaking Midfieder Kama Pirlo alivyokuwa na Ricado Kaka AC Milan, Xavi alivyokuwa na iniesta.
So, unapokuwa na HM ni lazina uwe na Viungo 3 kati kati.
•Sergio Busquet-Xavi-Iniesta
• Gattuso-Pirlo-Kaka
• Yaya-Xavi-Iniesta
Kuhusu Defensive Midfielder Huyu ni Natural Namba 6.
Kwahiyo Huyu Namba 6 (DM) si Rahisi Kuwa Holding Midfielder (ingawa anaweza Kuwa) Kwani yeye kazi Yake ni Kuwalinda Mabeki na si Kupoza Move za Maadui.
Tumia pesa na wewe upate ubingwa issue za kusajiri kuna lindorf hizo ni za kijinga ndyo maana unakuja kulalamika ovyo Mara pesaMan City na Mpira Pesa.
Manchester City ndio kikosi kilichotengenezwa kwa kiasi kikubwa cha fedha katika Historia ya soka baada ya kutumia kiasi cha Euro Milioni 878 katika soko la usajili, kwa mujibu wa taarifa mpya za matumizi ya fedha.
Orodha iliyochapishwa na CIES Football Observatory inaonyesha kikosi cha Pep Guardiola ambao ni vinara wa Ligi kuu ya Soka ya Uingereza, wametumia kiasi kikubwa cha fedha zaidi ya klabu yoyote ile katika ligi kuu tano bora barani Ulaya, baada ya usajili wa mwezi huu Januari wa Pauni Milioni 57 wa beki Aymeric Laporte.
Uwekezaji wa City , umeupiku ule wa Paris Saint-Germain ambao umegharimu kiasi cha Euro Milioni 805, zaidi ya robo ya matumizi hayo yametumika kumsajili Neymar kwa rekodi ya usajili ya Euro Milioni 222 kutoka Barcelona.
Manchester United wanashika nafasi ya tatu katika orodha hiyo wakiwa wametumia kiasi cha Euro Milioni 747, juu ya Barcelona ambao wametumia Euro Milioni 725, Chelsea Euro Milioni 592 na Real Madrid ni Euro Milioni 497.
Kuna vilabu sita kutoka ligi kuu ya soka ya Uingereza katika orodha ya 20 bora vikiwemo vilabu vya , :
( Liverpool (€461m), Arsenal (€403m), Everton (€365m), Tottenham (€358m), Southampton (€229m) and Crystal Palace (€225m). )
Na wastani wa matumizi wa ligi kuu ya soka ya Uingereza upo kwenye thamani ya Euro Milioni 291, mbele ya Hispania , Euro Milioni 131, Serie A Euro milioni 124, Bundesliga Euro Milioni 113 na Ligi ya Ufaransa Euro Milioni 91.
View attachment 694553
Mimi ni Gunnerz chama kubwa mkuuKwani wewe ni mshabiki wa timu gani mkuu.
Nilikuwa majukumuni mkuu,mimi najikubali na chama langu hili hata tukienda comference naenda nalo mimi sio kama wale washabiki wa JIJI LA MANCHESTER wasaka ushindi....hahahahahahaArsenal huyo hahaha kashindwa hata kujibu
Naona unajisahaulisha ya jana kwa history za tangu uhuru hahahahahahahhh NEWCASTLE nyie hatari sana dahDaa inabid tuwe tunakukaribisha tusikuvunje moyo usije kujifia mkuu ni bora unavyotema nyongo maana burnley ukizubaa tu wa 7
Hiki bado hakijapoa cha hapo kwako
View attachment 694468
Sikufaham kabisa kama ww ni arsenal kumbe mti wetu mkuu ruksa tunakupa nafas ya kujimwaga hapa
Arsenal mwenzio kakupa moyo anakusifu kwa kuvamia hapa ila muwe mnakumbuka na sikukuubya 8/8
Dedication songSir Alex Ferguson tutakukumbuka sana
Naona unajisahaulisha ya jana kwa history za tangu uhuru hahahahahahahhh NEWCASTLE nyie hatari sana dah
Dedication song
TUTAKUKIMBUKA.....KING CRAZY GK ft TID
Hii picha ya kukata tamaa kabisa yani daa pogba young best player in europe 2013 and young Upcoming talented midfielder wa world cup 2014 tutampoteza tusipokuwa makin.
Mkuu pogba akijitambua akaacha kukata tamaa atakuwa mchezaji mkubwa mno ifike mahali mou amchezeshe tu namba 10Hii picha ya kukata tamaa kabisa yani daa pogba young best player in europe 2013 and young Upcoming talented midfielder wa world cup 2014 tutampoteza tusipokuwa makin.
Hii picha ya kukata tamaa kabisa yani daa pogba young best player in europe 2013 and young Upcoming talented midfielder wa world cup 2014 tutampoteza tusipokuwa makin.