Manda jitokeze chacha khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Wine goli la matuta ... ... ...
Ooops red card Vidic .... ..
Kesho usikimbie jamvini Drama Queen, hahahaha hili jina nimeona umebatizwa kule Liverpool, I can only endorse it....khe khe kheeeeeeeee!!!!!!
Vipi mechi ya leo utakuwa kwenye vikao vya harusi?
Silence msipige kelele ... ..... ...... ....sh wenyeji wamekwenda kwenye vikao vya harusi. Khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee ngojeni wapate goli watarudi kwa mfululizo.
Namwona Evra hapa .... ..... ...
Noisy neighbours washabandikwa kamoja ..... .... . hapa naona pamepoa ngoja niingie kwa Mancs .... ... tena inanyesha mvua huko Eastland .... .... ...
Mpo wakuuuuuuuuu?
Galati 0 - 0 Manure kipindi cha pili dakika ya 58 ... .... .... ... ..
Vipi mkuu Manure wanachechemea hapa ngoma yao ngumu sana leo lakini unajua tena watatoka na mrisi khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeee ..... .... Wine anakosakosa hapa .... . .
Penalty for manure .... . . handball in the area ... ...
Manda jitokeze chacha khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Wine goli la matuta ... ... ...
Ooops red card Vidic .... ..
Hongereni wakuu naona magoli ya matuta yamewaokoa
Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Vikao vya 'harusi' ni wikend, kwan vyako mlikuwa mnafanya Jumanne?
Aya Buraza Wacha a.k.a Muzieya ya ALASAKA, jana tumeingia mitini woooote, asante kwa kampani..... ila swali la kizushi: Mbn mechi za Gunales yenu huwaga unakimbia jukwaa lako?, i mean hata zile mechi za away from Emirata, hahahahahahaaha! dont tell m uko Marseile now, pheeeeeeeeeeeeeew!
MAN UTD:
De Gea,
Evra,
Ferdinand,
Evans,
Smalling,
Fletcher,
Anderson,
Nani,
Young,
Rooney,
Welbeck...
Subs:
Lindegaard, Jones, Park, Hernandez, Berbatov, Fabio, Valencia.
MAN CITY:
Hart,
Richards,
Kompany,
Lescott,
Clichy,
Barry,
Yaya Toure,
Milner,
Silva,
Aguero,
Balotelli.
Haya haya hayaaaa vikosi ndio hivyoooo, ila mbona vidic hayupo hata benchi? I thnk chicharito kawekwa benchi aje aingie na magoli yake kama kawa..
Ha ha ha baloteli kawafuma leo na t shirt lake " why always me"
Sasa mkuu kwani nimesema mpira dakika 10? Si nimezungumzia lile tukio? Ndio raha ya mpira au unataka tu discuss magoli mpira ukiisha?Dakika 90 mkuu mpira bado sana mbona.....subiria tu....
Sasa mkuu kwani nimesema mpira dakika 10? Si nimezungumzia lile tukio? Ndio raha ya mpira au unataka tu discuss magoli mpira ukiisha?
Pole mkuu ndio mpira