Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tetesi

Wakala wa Jorginho wamekutana na wawakilishi wa Manchester United kabla ya kuondoka kwa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 26 kutoka Napoli, kulinga na jarida la habari la Manchester
 
Tetesi

Sunday Express, linasema Manchester United wanatarajiwa kukataa kusaini mkataba na mchezaji kutoka Juventus na Roma Matteo Darmian, mwenye miaka 28, kwa deni .
 
Alex Sanchez vipi atashiriki Champions League msimu huu akiwa na Manchester united au itabidi asubiri mpaka next season. ? naomba kujuzwa wakuu.
Atashiriki kama kawaida kwa vile hakuwa anashiriki UCL. Ila alikuwa kwenye 'ndondo cup' ile uefa ndogo.

Ila kwenye uefa hatovaa jersey namba saba.
 
Atashiriki kama kawaida kwa vile hakuwa anashiriki UCL. Ila alikuwa kwenye 'ndondo cup' ile uefa ndogo.

Ila kwenye uefa hatovaa jersey namba saba.
Hapana, Sanchez atavaa jezi namba saba kwakua kwenye michuano ya uefa ile jezi haikuvaliwa na mchezaj yoyote wa man u,ila Micky kule Europa hatovaa jezi namba saba kwakua alishaitumia Sanchez
 

Martial yupi uyo unamuongelea?
 
Ila ndo giant wa epl

Pep Guardiola Claims Man City Must Win More Trophies to 'Become as Big as Man Utd or Liverpool'



Kwa nini sio CHELSEA? ndo mana mnahangaika kutushusha ili tufanane.
nyie lazima tuwashushe hakuna namna ...mna timu mbovu sanaa
 
Kwan hajui anachokifanya si kila mechi anakosesha watu ushindi aambiwe tu wazi ajirekebishe
Chalii kazidi uchoyo bana, hayuko kwenye position nzuri kufunga ila Ana shoot tu badala atoe pass kwa aliyeko kwenye position nzuri
 
Hapana, Sanchez atavaa jezi namba saba kwakua kwenye michuano ya uefa ile jezi haikuvaliwa na mchezaj yoyote wa man u,ila Micky kule Europa hatovaa jezi namba saba kwakua alishaitumia Sanchez
Thanks. For correction.
 


Je anaitajika midfield wa namna hii kama huyu jezi namba 8 Jorginho wa Napoli kwa sasa katika kikosi cha Manchester United
 

Hii Twitter ya asubhi hii hata sijaielewa
After securing Alexis Sanchez, Jose Mourinho and Manchester United have now turned their attention towards securing the services of Nice's Jean Michael Seri. The Red Devils are confident of completing a deal this week after knowing that Seri can leave for a fee far less than his market value this month.
 
Meneje wa Manchester United, Jose Mourinho ameamuru kabati la kuhifadhia vifaa na jezi la mchezaji wake mpya, Alexis Shanchez lihamishwe kutoka lilipokuwa awali na kuwekwa karibu na kinda wa timu hiyo mwenye umri wa miaka 19, Marcus Rashford katika chumba cha kubadilishia nguo ndani ya United.

Kwa mujibu wa mtandao wa The Sun umesema kuwa kitendo kilichofanywa na Mourinho ni katika kuhakikisha Sanchez anakuwa karibu na Rashford ili kumpatia uzoefu ndani na nje ya uwanja.

Habari kutoka ndani ya Old Trafford zinasema ni kawaida kwa meneja huyo kuwachanganya wachezaji wenye umri tofauti ili kubadilishana uzoefu hivyo Sanchez ataweza kumuweka Rashford katika hatua nyingine kisoka soka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…