Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mh! Sijapenda hapo kwenye rangi nyekundu. Anataka kumtia hofu huyu na kutafuta sababu ya kumuweka bench. Rashford ni mchezaji mzuri sana badala ya kumponda hadharani anatakiwa ahamasishwe zaidi.

Wala ajamponda, kasema ukweli. Rashford ananyima wenzake magoli kwa kuwa mchoyo wa pasi za mwisho.
 
Mkuu umekosea kuandika au ?!!!!!!!!!!
Mkuu sijakosea..zile spidi, mashuti na commitment uwanjani anayoionesha Rashford halafu anawekwe bench na huyo roho huwa inaniuma sana. Martial hana control nzuri ya mpira akikimbia na mpira unamgongagonga miguuni na kuishia kuuacha nyuma, muangalieni kwa makini. Sisemi sana tusubiri mechi ya keshokutwa na Spurs mmesema ndio kapumzishwa ili akapambane pale na Aurier mtarudi hapa kujuta.
 
Mkuu kwani huyo Kyle Walker amerudi tena Spurs? Au mie ndio nimejivuruga hapa?
 
Martial is always better than rashford kwakila kitu.
Angalia stats zao
 
Hivi ni rashford gani unayemzungumzia kuwa anatakiwa amweke martial bench?.
 
Alex Sanchez vipi atashiriki Champions League msimu huu akiwa na Manchester united au itabidi asubiri mpaka next season. ? naomba kujuzwa wakuu.
 
Tetesi

Manchester City na Manchester United wanatarajia kung'ang'ana kujaribu kumchukua mchezaji wa kati mBrazil Fred mwenye umri wa miaka 24, kutoka Shakhtar Donetsk limesema kazeti la Daily Star Jumapili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…