Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,121
- 14,032
Anakuwa offside akipewa mpira halafu amewazidi mabeki...Mchezaji huwa offside kipindi gani na kipi hupelekea kuwa offside?
Tajiri ni pamoja na kudaiwa. Kama hudaiwi you don't exist.Hahaahha mbona hamna point unakuwaje tajir ukiwa na unamadeni?
Wwwwww hatupo kishabiki hapa.. ,kuwa serious Mara ngapi????Mara moja akakimbilia ujeruman
Nimebishana na ww???? Tuliza huo mbichwa...hebu kabishane na wakina burnley huko
Anakuwa offside akipewa mpira halafu amewazidi mabeki...
Sawa inaweza kuwa error tu kwenye mchezo hasa timu inapoattack sana...ila hii ya chicharito ni too much...
Nakumbuka siku moja mechi ya Mexico na USA , Dos Santos alimpigia Hernandez pasi,ile kuipokea alikuwa offside mpaka nyuma ya kipa...
Asee nilicheka kidogo nizimie
Hayakuhusu mkuu.... Pita kama hujaona vile.....Hivi Mkuu radika una muda mwingi wa kupoteza eh? Unawezaje kubishana na huyo mtu?
Hilo ndio jibu sahihi mengine hayana mantik na uharaka wa mchezaji kujiweka nafas ya kufunga
Wwwwww hatupo kishabiki hapa.. ,kuwa serious Mara ngapi????
Alinyari muziki...Ndugu mara moja tu mourinho kakaa madrid misimu miwili na nusu
Hilo hapo jamaa kishakujibuUnakopa hela inakuwa yako...,kwan inakuwa ya mwingine?? Kalipeni madeni kwanza tujue jeuri yenu...
Hili hujajibu kwa nini?Kwa nn kinatajwa club chenye thaman kubwa duniani pamoja na madeni? Na kwa nn kinakopesheka? Kwa nini sio arsenal ambacho hakidaiwi?
Masikini hawezi daiwa, hakopesheki, atadaiwa vipi? Kukopesheka ni sifa na uwezo wa kulipa, anao tajiri. Sifa ya kukopesheka masikini hana. Kama ArsenalHilo hapo jamaa kishakujibu
Hili hujajibu kwa nini?
Jibu la jamaa gani huyo,?? Sijaliona mm.Hilo hapo jamaa kishakujibu
Hili hujajibu kwa nini?
Jibu la jamaa gani huyo,?? Sijaliona mm.
Mlikopa mkajenga OT..
Arsenal haidaiwi kwa sababu haikopi..
Simu yangu imeisha chaji..
Umeme imekatika...
Ngoja umeme ujeOld trafford imejengwa kwa pesa za mkopo? Utachekwa wewe
Mou kakaa Spain misimu mitatu,msimu wa kwanza alichukua FCB, msimu wa pili mou,na msimu wa tatu atleticoWwwwww hatupo kishabiki hapa.. ,kuwa serious Mara ngapi????
Confirmed?1- Sanchez anaenda Manchester United
2- Aubameyang anaenda Arsenal
3- Mkhitaryan anaenda Borussia Dortmund
swali je ni team gani itakuwa imefaidika?
Hajui kitu uyo,OT ngome ilijengwa kabla ya Vita ya Dunia,ikapigwa mabomu ,ikajengwa Tena baada ya Vita...Old trafford imejengwa kwa pesa za mkopo? Utachekwa wewe
Kuna vimtu vinashangiliaaa!!! Kana kwamba mwisho wa msimu vitaibuka na taji lolote...