Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,121
- 14,032
Arsenal ina fans wengi kuliko manure.. Sema wapo silent kwa sasa....
if you can't beat them, join them
Jamaa anautendea haki huo msemo mashabik wengi wa arsenal walihamia city na watazid tu kwa mwendo huo wa wenger.
Mechi chache aliefungwa kabeba vikombe akimfunga?Zuzu aliyepigwa mechi nyingi....
Sijakuelewa mkuu...pardon????Mechi chache aliefungwa kabeba vikombe akimfunga?
Arsenal ina fans wengi kuliko manure.. Sema wapo silent kwa sasa....
Ipo siku utawaona wote....
View attachment 676907View attachment 676908
Bado sana...mtasubiri[/QUOTE
Kwa stats hizo Pogba ni best au wewe huzioni
Wenger kafungwa mara chache na pep je kawah kuchukua ndoo mbele ya pep?Sijakuelewa mkuu...pardon????
Ww hujaelewa au unakaza tu ubio... Refa alimrule offside Mara Tisa tena kaingia kutokea sub dadeki!!!!Kwa hiyo alifunga goli 9?
Nyie mnabebwa na madeni...sisi hatuna madeni...mlipe madeni ya watu...mtauza mpaka old traffordYa ni kweli mnamashabik wengi hilo halina ubish cha ajabu club chenu 3 bora ya vilabu tajir hampo sijui mashabik gani wasio na faida hao.
Mi nimeelewa kumbuka umesema alikuwa akifunga goli za offside nimekuuliza kwa hiyo ktk hizo offside tisa alifunga zote goli?Ww hujaelewa au unakaza tu ubio... Refa alimrule offside Mara Tisa tena kaingia kutokea sub dadeki!!!!
Hahaahha mbona hamna point unakuwaje tajir ukiwa na unamadeni?Nyie mnabebwa na madeni...sisi hatuna madeni...mlipe madeni ya watu...mtauza mpaka old trafford
Kwan tulishakutana fainali ,we vepee!!!! Nilimpiga fa,nikaingia fainali na Chelsea, nikabeba ndoo..Wenger kafungwa mara chache na pep je kawah kuchukua ndoo mbele ya pep?
Mourinho kishafanya hivyo kamchomoa nusu fainali ya uefa kombe kubwa achana na hako ka fa pia ktk lig kamkimbiza kwa point na magoli spainKwan tulishakutana fainali ,we vepee!!!! Nilimpiga fa,nikaingia fainali na Chelsea, nikabeba ndoo..
Una jingine????
Ndiyo mm ni mchezaji...Mi nimeelewa kumbuka umesema alikuwa akifunga goli za offside nimekuuliza kwa hiyo ktk hizo offside tisa alifunga zote goli?
Kama hakufunga kuna tatizo au kama alifunga ni tatizo la chichato?
Roberto umewah kucheza mpira?
Ndiyo mm ni mchezaji...
Mchezaji wa hivi hana nidhamu ya mchezo ndo maana alikuwa anaanzia benchijapo alikuwa hacheki na makipa...
Unakopa hela inakuwa yako...,kwan inakuwa ya mwingine?? Kalipeni madeni kwanza tujue jeuri yenu...Hahaahha mbona hamna point unakuwaje tajir ukiwa na unamadeni?
Unakopa hela inakuwa yako...,kwan inakuwa ya mwingine?? Kalipeni madeni kwanza tujue jeuri yenu...
Alichukua la liga mara moja tu mbele ya pep....pep alichukua mara ngapi mbele yake????Mourinho kishafanya hivyo kamchomoa nusu fainali ya uefa kombe kubwa achana na hako ka fa pia ktk lig kamkimbiza kwa point na magoli spain
Alichukua la liga mara moja tu mbele ya pep....pep alichukua mara ngapi mbele yake????
hebu kabishane na wakina burnley hukoJipeni moyo...