Manchester United pia wanawataka washambuliji wawili akiwemo mshambuiaji wa Leicester na Uingereza ,30, Jamie Vardy na mwenzake wa West Ham, 29, Javier Hernandez, ambaye alikuwa katika uwanja wa Old Trafford kutoka 2010-2015. (Telegraph)
Tukimpata Sanchez ntakuwa na uhakika kuwa tunaweza kufukazana na city maana timu itakuwa na pace sana itabidi mou aache mbinu za kiboya za kulinda muda wote kilichobaki tupate 8 mzuri ili pogba acheze 10