Manchester United (Red Devils) | Special Thread

😀 😀 😀 Nilijua tu Comments za Plastic Fans haziwi Stable
 
Wakati mwingine Pogba kama mtoto wa udongo vile jua likiwa yupo vizuri manyunyu kidogo mhh
 
Mashabiki wengi wa Mau kwenye hili jukwaa ni wamejaa uswahili, h
timu ikifanya vizuri wanampongeza kocha na wachezaji, ila ikidraw basi lawana tele. Kuna watu wanakosoa mbinu za mwalimu wakati wenyewe wakipewa hata chekechea hawawezi kufundisha. Tuwe na ushabiki na pia tuweze kukubaliana na yale timu inafanya, huku kuna watu wanaongea mbovu utadhani hata wana hisa kwenye club
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…