Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Aende akafundishe hiyo club yake kwanza tuone huo uzoefu anaosema tayari anao.
 
Sina cha kukusaidia hapo coz u dont own any team so u cant stop them.
Ni uzushi na upuuzi ambao hautokaa utokee Ronaldo kurudi united, so mtu mwenye akili timamu taarifa za ronaldo kurudi united atazipuuza, nashangaa ww unazileta huku
 
⚽ *Everton vs Manchester United*

Everton:
1 Jordan Pickford
5 Ashley Williams
4 Michael Keane
15 Cuco Martina
30 Mason Holgate
10 Wayne Rooney
2 Morgan Schneiderlin
26 Tom Davies
19 Oumar Niasse
7 Yannick Bolasie
27 Nikola Vlasic

Manchester United:
1 David de Gea
5 Marcos Rojo
4 Phil Jones
23 Luke Shaw
2 Victor Lindelöf
6 Paul Pogba
31 Nemanja Matic
21 Ander Herrera
11 Anthony Martial
14 Jesse Lingard
8 Juan Mata
 
Wachezaji wetu wajifunze kwa wenzio wao wanavyopigania team zao wasicheze kwa kulizika sababu wanacheza tu mradi tu watimize wajibu
 
Naona kikosi cha leo kipo tofauti kidogo wanaweza wakatufurahisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…