Naomba nipe mfano wa quality teams tulizocheza nazo zikatengeneza nafasi nyingi na idadi. Mfano Man city,Chelsea,Tottenham na Arsenal.
Arsenal watu wengi wanazungumzia nafasi 33 lakini kiutaalam Arsenal walitengeneza CLEAR CHANCES NNE TU, moja ikazaa goli tatu De Gea being De Gea the rest were shots u expect a decent keeper to save.
Angeanza assist ya Rashford ingepatikana?Najiuliza kwanini Martial hakuanza
NDUGU HAPO KWENYE KEEPER'S SAVE MI NDO NIMECHUKULIA UDHAIFU WA MABEKI UNAONEKANA, SIJUI MWENZANGU UNAONAJE.
Van GaalHivi ni kocha gani aliyemuuza Alfred Zaha
Ya liver hyoNaomba nipe mfano wa quality teams tulizocheza nazo zikatengeneza nafasi nyingi na idadi. Mfano Man city,Chelsea,Tottenham na Arsenal.
Arsenal watu wengi wanazungumzia nafasi 33 lakini kiutaalam Arsenal walitengeneza CLEAR CHANCES NNE TU, moja ikazaa goli tatu De Gea being De Gea the rest were shots u expect a decent keeper to save.
Hii ni habari mbaya sana.Valencia injured...hamstring
Nadhani nilisema hashindi magoli zaidi ya mawiliHashindi leo.
Baaasi roho ilikuwa juu juu hahahaOhooooo wamerudisha 1
mpira hauko hivyo mkuuAngeanza assist ya Rashford ingepatikana?
Its either Martial or Rashford. Mou cant start both.Najiuliza kwanini Martial hakuanza
No hio inaonesha una keeper mzuri. Nikupe mfsno mechi yetu na Arsenal wametengeneza 4 CLEAR CHANCES na sisi 4.....sisi tatu zimeingia,moja imegonga mwamba. Za kwao De Gea kafanya kazi yake ila wao kipa hana kiwango cha De Gea. Hamna beki isokuwa breached.NDUGU HAPO KWENYE KEEPER'S SAVE MI NDO NIMECHUKULIA UDHAIFU WA MABEKI UNAONEKANA, SIJUI MWENZANGU UNAONAJE.
Toka aje mourinho kwa sasa mi mpira naangalia bila wasiwasi had muda huu tunarekod nzur sana na bado anaendelea kuitengeneza timu tunasahau namna timu yetu ilivyokuwaHuyu jamaa anashangaza! Yes, ni vizuri kuwa na mawazo tofauti, ila kama hayuko well informed. Anasahau José ame-tie longest unbeaten record at OT! Ni Shitty ndiyo wamezuia José kuweka rekodi mpya.
Lakini kuna mechi kadhaa, hata ile ya Manchester City, aliwaanzisha kwa pamoja.Its either Martial or Rashford. Mou cant start both.