laki si pesa.
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 9,984
- 9,757
chilubi sio kirahisi hivyo kama unavyofikiria the fall of manchester united lazima utambue hakuna timu isiyopitia kipindi cha mpito labda arsenal na liverpool tu wao hawapendag kutumia pesa ila ukifuatilia tukianzia barcelona ulikuwa unaiona miaka ya 2000 had 2008? madrid toka 2002 had 2010? njoo buyern toka 2002 had 2009 hizo zilikuwepo ila hazikuwa na nguvu baada ya wachezaji wao manguli kustaafu
Mkuu, suala la kupitia makocha wa ngapi tangu SAF aachie ngazi sio kigezo kama fulani apewe credits or not. Kilio cha Fans wa MU hujakielewa nahisi, ni STYLE OF PLAY.... We dont attack anymore, even under mou timu mbovu zikija Trafford zinaamini zinaweza kutoka na point 3, MU is not a threat to any team, Hata leeds united is not threaten by MU. Look at Pep, you think its easy to manage MC pia? 16 unbeaten games mpaka sasa with only 1 draw, na jana Spurs kala minne. Watizame wachezaji wao wanavocheza soka kwa passion, another thing lacking in MU.....ukija sauala la manchester united sio kazi nyepesi kama unavyofikir wamepita makocha wa ngapi? hiyo ni baada ya sir alex kukaa miaka 26 unafikir ni jambo jepesi ndugu mpeni credit mourinho na heshima
Mkuu, unahadaika na pesa ambazo bodi inaspend? 75m pound for LUKAKU? Real Madrid katika kipindi alichokuwa anasuasua alikuwa anaspend kiasi gani? The body makes money ndugu yangu from tshirt sales tu. If they know if we buy griezmann for 200 million pound, and we can sell his shirts and total profit reaching 500 million pound, why shouldnt we puta that money in griezman? The board is turning the players into investments mkuu.ukija suala la bodi hapo umekengeuka ndugu kwamba hawapo sirias huo ni uongo angalia thaman za wachezaji wanaonunuliwa utailaumu vipi bodi ndugu?
zama za mwisho kipind sir alex anastaafu kuna baadhi ya wachezaj walikuwa tayar umr umekwenda hadi anaondoka hatukupata kiungo mkabaj had alimuomba scholes arud uwanjan leo mnalaumu mourinho kama ana miaka 3 kumbe wap
ukiangalia ktk mapendekezo yake ya wachezaj safar hii kampata mmoja tu victor lakin wa 3 hakupata chukulia tu kampata perisic na greizman huoni kama alikuwa anatimiza lengo lake?
wakati wako wa kumtetea mourinho sasa ila ukweli unabaki pale pale team yenu inashinda lakini mchezo hauvutii kabisa
..Van Gaal alileta man u mpira wa kuvutia pasi nyingi hakuna kudefend mkamtimua.....man u fans hamna jemaMkuu, kupitia transition period kwa club yoyote after having one manager for long term inaeleweka kuwa huwezi kupata same results as the ex manager, na ndio maana ukaona contract wanazosign managers after SAF ni 3 years, ili kumpa time manager ajijenge. Lakini hawakuishia kwa muda wote huo kwanini? They brought in zero hope. Tizama timu kama liverpool, you can feel the passion from the players and the need to win the title, you can see them fighting every match, hata kama watafungwa 6, you can see them fighting, THIS IS WHAT MU FANS WANTS. We need to see the time fighting for winning. LFC wakiifunga MU, hata kama hawajachukua kombe, lakini they are happy, this is what is missing in MUFC now.
Mkuu, suala la kupitia makocha wa ngapi tangu SAF aachie ngazi sio kigezo kama fulani apewe credits or not. Kilio cha Fans wa MU hujakielewa nahisi, ni STYLE OF PLAY.... We dont attack anymore, even under mou timu mbovu zikija Trafford zinaamini zinaweza kutoka na point 3, MU is not a threat to any team, Hata leeds united is not threaten by MU. Look at Pep, you think its easy to manage MC pia? 16 unbeaten games mpaka sasa with only 1 draw, na jana Spurs kala minne. Watizame wachezaji wao wanavocheza soka kwa passion, another thing lacking in MU.....
Mkuu, unahadaika na pesa ambazo bodi inaspend? 75m pound for LUKAKU? Real Madrid katika kipindi alichokuwa anasuasua alikuwa anaspend kiasi gani? The body makes money ndugu yangu from tshirt sales tu. If they know if we buy griezmann for 200 million pound, and we can sell his shirts and total profit reaching 500 million pound, why shouldnt we puta that money in griezman? The board is turning the players into investments mkuu.
SAF wasnt buying big names, and if we take SAF MU team vs MOU MU team, SAF team itaimaliza timu ya MOU. Uchezaji ule tulivocheza na man city?
Ferguson alipokosa kiungo, kamuomba scholes arudi, MOU je? anapokosa wachezaji wa kupeleka mipira mbele kafanya nini?
Mapendekezo yake wachezaji watatu unasema kampata Lindelof tu? Samahani, unatizama mpira lakini au unasikiliza maskani wanasemaje? Kwa sababu Pogba kachagua yeye, Lukaku pia kachagua yeye, hakuchaguliwa. Na MOU alikuwa anaitaka kazi MU kwa sababu anajua kuwa huchaguliwi wachezaji, unapewa budget umtaje unaemtaka. Unaponambia Lindelof pekee ndo chaguo lake nakua sielewi.... Lindeflop ambae yeye mwenyewe MOU anamueka bench.....
Tunasubiri January dirisha lifunguliwe, ndio tutajua kama MOU is serious ato challenge our rivals, au anasubiri kocha wa psg afukuzwe akake yeye
Si kuukubali ukweli huo ndo ukweli
Cjaona timu mbovu top six nzima
Timu za Hispania ni sumu kwa timu za England.Huyohuyo sevilla muulize liva shughuli yake.Anaonewa kila kukicha uefa,uropa
Umesahau sahivi tu shughuli ya Vigo?
Mm nnayempa nafasi ya kufika mbali ni city.Man siwaamini bado
Mkuu, kupitia transition period kwa club yoyote after having one manager for long term inaeleweka kuwa huwezi kupata same results as the ex manager, na ndio maana ukaona contract wanazosign managers after SAF ni 3 years, ili kumpa time manager ajijenge. Lakini hawakuishia kwa muda wote huo kwanini? They brought in zero hope. Tizama timu kama liverpool, you can feel the passion from the players and the need to win the title, you can see them fighting every match, hata kama watafungwa 6, you can see them fighting, THIS IS WHAT MU FANS WANTS. We need to see the time fighting for winning. LFC wakiifunga MU, hata kama hawajachukua kombe, lakini they are happy, this is what is missing in MUFC now.
Mkuu, suala la kupitia makocha wa ngapi tangu SAF aachie ngazi sio kigezo kama fulani apewe credits or not. Kilio cha Fans wa MU hujakielewa nahisi, ni STYLE OF PLAY.... We dont attack anymore, even under mou timu mbovu zikija Trafford zinaamini zinaweza kutoka na point 3, MU is not a threat to any team, Hata leeds united is not threaten by MU. Look at Pep, you think its easy to manage MC pia? 16 unbeaten games mpaka sasa with only 1 draw, na jana Spurs kala minne. Watizame wachezaji wao wanavocheza soka kwa passion, another thing lacking in MU.....
Mkuu, unahadaika na pesa ambazo bodi inaspend? 75m pound for LUKAKU? Real Madrid katika kipindi alichokuwa anasuasua alikuwa anaspend kiasi gani? The body makes money ndugu yangu from tshirt sales tu. If they know if we buy griezmann for 200 million pound, and we can sell his shirts and total profit reaching 500 million pound, why shouldnt we puta that money in griezman? The board is turning the players into investments mkuu.
SAF wasnt buying big names, and if we take SAF MU team vs MOU MU team, SAF team itaimaliza timu ya MOU. Uchezaji ule tulivocheza na man city?
Ferguson alipokosa kiungo, kamuomba scholes arudi, MOU je? anapokosa wachezaji wa kupeleka mipira mbele kafanya nini?
Mapendekezo yake wachezaji watatu unasema kampata Lindelof tu? Samahani, unatizama mpira lakini au unasikiliza maskani wanasemaje? Kwa sababu Pogba kachagua yeye, Lukaku pia kachagua yeye, hakuchaguliwa. Na MOU alikuwa anaitaka kazi MU kwa sababu anajua kuwa huchaguliwi wachezaji, unapewa budget umtaje unaemtaka. Unaponambia Lindelof pekee ndo chaguo lake nakua sielewi.... Lindeflop ambae yeye mwenyewe MOU anamueka bench.....
Tunasubiri January dirisha lifunguliwe, ndio tutajua kama MOU is serious ato challenge our rivals, au anasubiri kocha wa psg afukuzwe akake yeye
Mkuu, pasi nyingi kisha hakuna goli inafaida gani? mbona unataka kuleta jokes ndugu yangu, kweli kabisa uwe unacheza pasi tu, lakini goli hulioni. Faida yake nini? MU style is ATTACKING sio PASSING wala DEFENDING..... MC ya saivi imeizidi MU ya SAF kwa vitu viwili, ATTACKING and PASSING wakatu SAF alikuwa ATTACKING, lakini both teams defensively zipo vulnarable...Van Gaal alileta man u mpira wa kuvutia pasi nyingi hakuna kudefend mkamtimua.....man u fans hamna jema
Hakuna timu epl yenye uwezo wa kupambana na PSG,BARCELONA, BUYERN.....hata man city hana uwezo huoMkuu, Spanish team zinategemea sana kubebwa zikikutana na english team.... Ni mara ngapi Team za uko zimepata ushindi uingereza kwani?
Wengi wanampa kichwa city kuwa ndio title favorites, kwa sababu in last 16 kapangiwa basel, kisha kuna giants they face each other. Kabla ya round ya 16 kumbuka, title favorites walikuwa PSG, usishangae after robo ukatajiwa mwengine. Ila ikifika robo ndio tutajua nani ni favorite wa kuchukua kombe. Game ya PSG na mAdrid ikiisha ndio itatupa picha.....
Unajua kwanini siwezi kusema Man city anaweza kuchukua? Kwa sababu City hawezi kucheza pressure football against a team whose style is pressure, ukitizama game ya MU walivorudishiwa goli, tayari weakness ipo pale kuwa defensively, city are not good yet. Sasa timu kama Madrid, they can easily take on City, timu kama Barca ikikutana na Man city, Barca atapelekwa mchakamchaka, au Bayern, they can take on city, apart from them English teams can take on city.
Note kitu kimoja, kuna English teams zikiwa in Uefa sio sawa na zikicheza premier league.
Huu utoto ! Ndo nn hiki ?
Nawasalimu
Hizo ni salamuHuu utoto ! Ndo nn hiki ?
Hashindi leo.Man united anashinda match, lakini sio zaidi ya magoli mawili
dirisha la pili alihitaj wachezaj wa nne achana na usajili wa kwanza huyo lukaku hakuwa first choice yake yeye alimhitaj greizman,perisic,lindelof a nne ilikuwa siri yake hapo kampata mmoja tu huoni tayar program ishaharibikia? pia suala la kushambulia wamepita van gal na moyes ni striker yup waliemnunua wa kutufungia magoli?
Unajua kwanini watu wanamshambulia? kwa sababu anajua kama we must reduce the gap, and we can do that, but he limits the playersila kwa mourinho kumshambulia kwa soka la man city ni kumuonea sijawah kuona pep kazidiwa mpira
Rekodi ipo nzuri, lakini timu zinafight, wakati zamani timu zinakuja kutafuta draw, saiv they believe they can snatch 3 pointspia ukisema kuna timu ikija old traford inawaza kuondoka na point 3 hapo sikubaliani na ww kwa sasa rekod ya nyumban ipo vizur mno labda enz za moyes na van ga
Tizama timu kama liverpool, you can feel the passion from the players and the need to win the title, you can see them fighting every match, hata kama watafungwa 6, you can see them fighting, THIS IS WHAT MU FANS WANTS. We need to see the time fighting for winning. LFC wakiifunga MU, hata kama hawajachukua kombe, lakini they are happy, this is what is missing in MUFC now.
Hio ni imani yako.... just wait for surprise.Hakuna timu epl yenye uwezo wa kupambana na PSG,BARCELONA, BUYERN.....hata man city hana uwezo huo
Hebu nijibu haya mswali.Aisee! Una uthibitisho kwamba hayo uliyoyasema ndiyo washabiki wa United wanataka?
Mimi wala sitaki ulichokisema! Yaani Scousers ndiyo reference? Yaani United ijifunze vile Scousers wanafanya?
And you want United to make DVDs after smacking them scousers? Yaani ati United washangilie kuwafunga Scousers hata kama hawajachukua ubingwa!!
Bruv, that’s not how United does it.
I’m starting to doubt if you are truly a United supporter!
pia ukisema kuna timu ikija old traford inawaza kuondoka na point 3 hapo sikubaliani na ww kwa sasa rekod ya nyumban ipo vizur mno labda enz za moyes na van gal
Howthons ni uwanja mgumu sana Mkuu, najua lakini ni suala la mudaHashindi leo.
Do you want to see Football passions in United players?
Do you want to see MU fighting to the last minute?
Do you want to see MU beating all the rivals?
Do you want MU not to fight after being 3 nil down?
Hebu nijibu haya masuali kisha ndio udoubt