Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Pengo la Pogba kwenye mechi ya City sijui litazibwaje ukizingatia Fella naye majeruhi. Yule zeruzeru De Bryune anatakiwa kuwekewa mkakati maalum msimu huu yupo on fire hatari

Unakumbuka against Chelsea last season, Herrera alikabidhiwa "mtu fulani" atembee naye..... ni matumaini yangu wewe ukiwa kama mshabiki wa Man Utd ila ilibidi umuonee huruma huyo "mtu fulani" jinsi alivyopotezwa kabisa uwanjani

Basi kwa kusema hivyo ina maana kuwa next week Herrera atapewa jukumu hilo alitendee haki
 
Leo nimeona lindelof alikabidhiwa sanches
 
Hapo tunakaribisha kadi nyekundu muda sio mrefu mkuu..

Huwezi kucheza na beki watatu nyuma kama huna mpango wa kumiliki mpira!

Labda nimuachie kocha ndio mjuzi kazi yangu mie kushangilia ushindi
Mkuu kama uliona gemu kabla vile......
Hakika mipira ni hesabu......
 

Nafahamu Herrera anaiweza hiyo kazi ila inatakiwa wakati Herrera anafanya kazi maalum kuwe na mtu free wa kuchezesha timu
 
Madrid walitubania morata sasa kama watamtaka de gea labda waje a pesa iliyomtoa neymer barca... Otherwise wataendelea kumsikia tu...

Sizan kama man u watakubali kumuuza kijinga... Kumbuka kuna msim madrid walifika bei ikatokea figisu de gea akabaki mpaka leo..
 
Mourinho alishapaki basi wakiwa pungufu pindi yupo inter wakati wanacheza na moja ya barca boooooora kabisa kuwahi kuiona, alafu leo hii afungwe na timu ya yuropa kisa yupo pungufu?
 
Hivi Man U unbeaten home run, imeshafikia mechi ngap?
sio toka last year kwel!!!!!!!!!
 
 
Baada ya mechi hii nimeamua kutoka Chelsea na kuhamia Man U kuunga mkono juhudi za Mourinho kuutafuta Ubingwa, maana kila anachofanya Mourinho ni yale yale tuliyokuwa tunayapigania huku Chelsea kwa miaka mingi, hivyo hakuna haja ya kuendelea kupingana na Man U. Narudi Nyumbani
 
Nafahamu Herrera anaiweza hiyo kazi ila inatakiwa wakati Herrera anafanya kazi maalum kuwe na mtu free wa kuchezesha timu
Kwa haraka haraka naona kelvin de bruine ndio injini ya man city... Incase mou ata apply hiyo strategy basi huyu jamaa ajiandae...
 
Mkuu hili fumbo sio mchezo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…