Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tetesi
MAN UTD YAMTOLEA MACHO CRISTANTE


Manchester United inataka kumsajili kiungo wa Atalanta, Bryan Cristante kuwa mrithi wa Marouane Fellaini, kwa mujibu wa The Sun .
Mashetani Wekundu wapo tayari kumpoteza Fellaini na kiwango cha Cristante akicheza kwa mkopo Serie A kimemshawishi Mourinnho kuamini kuwa mchezaji huyo ni mbadala sahihi kwa Fellaini.
Atalanta wana uwezo wa kumsajili Cristante kutoka klabu yake mama Benfica kwa paundi milioni 10 mwisho wa msimu, na kisha kumuuza kiungo huyo Man United kwa paundi milioni 31.
 
Tetesi
MADRID WATAJA TAREHE YA MWISHO KUMSAJILI DE GEA


Rais wa Real Madrid Florentino Perez ameweka tarehe ya mwisho majira ya joto 2018 kumsajili kipa wa Manchester United David De Gea, kwa mujibu wa Diario Gol .
 
Will Manchester united be brave and attack or will back the bus and wait for counter attacks?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…