Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kiungo wa kati wa Arsenal Mesut Ozil anaitaka Barcelona kumlipa dola 370,000 kwa wiki ili kujiunga nao mwezi Januari.Mkufunzi wa Gunners yuko tayari kumwachilia mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 29 ili asijiunge na Man United wakati mkataba wake utakapokamilika mwishoni mwa msimu ujao. (AS)
 
Upendo wa kweli hauhesabu mabaya.......siyo jambo zuri kiukweli na halipendezi katika jamii,mama akiwa malaya haimaanishi siyo mama yako na huwezi muombea afe ila kitakachotakiwa ni kumsaidia aachane na umalaya wake,we as fans can do something.
 
Upendo wa kweli hauhesabu mabaya.......siyo jambo zuri kiukweli na halipendezi katika jamii,mama akiwa malaya haimaanishi siyo mama yako na huwezi muombea afe ila kitakachotakiwa ni kumsaidia aachane na umalaya wake,we as fans can do something.
Can u share smthing u think we can do against this!?
For the record:mama ni mama huwezi kubadili..ila timu ya mpira ni jambo la kupita tu..
 
Can u share smthing u think we can do against this!?
For the record:mama ni mama huwezi kubadili..ila timu ya mpira ni jambo la kupita tu..
Yes ni jambo la kupita ila kama una mapenzi ya dhati na timu/ kitu / mtu utavumilia huku ukitafuta namna ya kumsaidia.

Dunia kama kijiji ingia kwenye website yao, na other social media zao kapaze sauti yako huko,tukifanya hivyo na wengine na wengine ...... umoja ni nguvu....... mashabiki wakigoma kwenda uwanjani nayo ni nzuri pia, but kuiombewa ifungwe so what.??? Hasara ya nani?
 
Nimekuelewa mkuu ila hizi ni plan za kuchafua ulimwengu kupitia vitu vinavyopendwa na watu wengi..uingereza wameshaipitisha hii kitu..na ni plan ya kusambaza huu uchafu dunia nzima..thats y i said As a fan I detest that thing na the least thing i can do "individually" ni kuonesha siko impressed kabisa na hili jambo..

Note: timu ikifungwa sipati hasara yoyote cuz its a transition thing..its almost impossible kumaliza ligi bila kufungwa hata mechi moja.
 
Hasara yao kwan Itakuwa kwako?
Wagongwe 2 kesho ili gunners tupande
 
dogo inabidi ukaionyeshe kesho na barcelona maana wote wawili hamjapoteza game hapo la liga
 
VICTOR LEARNING FROM WORLD'S BEST MANAGER
Victor Lindelof says, in his Manchester United manager Jose Mourinho, he is learning from "the best in the world".

The Reds defender sat down with United Review earlier this week to look ahead to Saturday's clash with Brighton at Old Trafford. During his exclusive interview, he discussed how much he is enjoying working under Mourinho.

"He’s a very good coach, in my opinion the best in the world, and for me to be able to work with him is a pleasure," the Swede told United Review.

"All of the staff and coaches as well, they are great and I am learning a lot from them. I’m just trying to do my best to work hard every day and listen to them because they know a lot about football, so it’s about listening and learning."

Lindelof was part of the United side which secured a 4-1 win over Newcastle last time out at the Theatre of Dreams and, with matches coming thick and fast as we count down to Christmas, the 23-year-old says every member of the squad has an important part to play.

"The games are the most fun part of football," he declared. "Training is fun also, but you play football to play the games, that’s the best part of it. We have a lot of games coming up and we have to be focused on the recovery between games so that the body can be 100 per cent ready.

"We have a very good squad with a lot of depth and good players. We’ve made a good start in every competition, now we just want to keep on going and do our best.
 

Attachments

  • 7A16E90A27A14F01AAA02E07D423758E.jpg
    43.1 KB · Views: 36





Mkuu Hill so jambo la Manchester tu! Bali ni Makubaliano Ya Premiere League Wenyewe Kusapoti Ushoga....

Kwahiyo Timu Zote Zitasapoti Ushoga.
 
TEAM NEWS: MANCHESTER UNITED V BRIGHTON
Manchester United boss Jose Mourinho has exclusively revealed to MUTV that Eric Bailly and Phil Jones will miss Saturday's Premier League match against Brighton & Hove Albion.


Speaking to Helen Evans at the Aon Training Complex, the boss said: "They are out," referring to central defensive pair Jones and Bailly. "But we are okay because we have [Chris] Smalling, [Marcos] Rojo and [Victor] Lindelof."

Mourinho also confirmed Zlatan Ibrahimovic will feature for a third successive game in all competitions after making his much-anticipated comeback from injury in last weekend's top-flight win over Newcastle United, before appearing as a late substitute again in the Champions League tie at Basel.

"I prefer him on the pitch than off the pitch," the boss told us. "On the pitch, he’s another option for us and he’s an option of quality. His physicality and his intelligence, the way he moves, the way he plays.

"But he needs time. We managed to give him 15/20 minutes in both matches, he needs more of that, so hopefully, tomorrow, we play him again."

Paul Pogba will start against Brighton in the 15:00 GMT kick-off at Old Trafford, although Mourinho has stated the France international cannot yet complete a full game.

"Paul is still on this process where he cannot reach the fatigue limit," explained the boss. "He cannot go more than 65 to 70 minutes because that’s when fatigue normally arrives and, with so many matches consecutively, we need to protect such an important player for us."

The players not involved in Basel could all return, including David De Gea, Antonio Valencia, Ashley Young, Juan Mata and Henrikh Mkhitaryan.

Meanwhile, Rojo came through his first 90 minutes since a knee operation with no ill effects.

"He was training with the team longer than Paul and Zlatan," added Mourinho. "But in a period when we had every central defender ready to play so we protected him. We gave him a better condition and, when we put him in the Champions League match, he was really ready.

"So 90 minutes, no problem, no reaction from the knee, confidence in his game, a good, solid performance. It’s very good to have him back."
 

Attachments

  • 5D27106E9D4E48039A6FB9A10B605385.jpg
    71.3 KB · Views: 31
*JY0*: *Mourinho slams Mkhitaryan for disappearing in matches*

Jose Mourinho has demanded improvement from Henrikh Mkhitaryan and accused the Manchester United playmaker of "disappearing" during games.

Armenia international Mkhitaryan started the season in impressive form, supplying five assists in United's opening three Premier League matches before scoring in the 4-0 win over Everton in September.

The 28-year-old's form has tailed off since and he missed out on United's last two matchday squads against Newcastle United and Basel.

Mourinho told reporters the former Borussia Dortmund favourite would return to face Brighton and Hove Albion at Old Trafford on Saturday but left him under no illusions that his standards have been noted as dipping sharply.

"I was not happy with his last performances," Mourinho said. "I'm not speaking about one or two, I'm speaking about three, four or five.

"He started the season very well and after that step by step he was disappearing. His performance levels in terms of goal scoring and assists, high pressing, recovering the ball high up the pitch, bringing the team with him as a No 10, were decreasing step by step.

"That was enough [to drop him] because the others worked to have a chance."
 
Kocha wa Manchester United Jose Mourinho amesema kuwa Paulo Pogba na Zlatan Ibrahimovic hawako tayari kucheza dakika 90 dhidi ya Brighton& Hove Albion

Mwishoni mwa wiki iliyopita, Pogba na Ibrahimovic wote walirejea dhidi ya Newcastle United baada ya kukosekana kwa muda mrefu na wawili hao pia walikuwepo katikati ya wiki dhidi ya Basel katika Ligi ya Mabingwa.
Hata hivyo, Mourinho amesema kwamba Pogba na Zlatan wanahitaji muda mwingi kwa ajili ya kuimarika zaidi .
Kocha huyo mwenye miaka 54 aliwaambia waandishi wa habari: "Tuliweza kutoa dakika 15-20 kwa Zlatan katika mechi zote mbili, anahitaji zaidi ya hizo dakika, kwa hiyo tunaimani kesho tena tutamchezesha kwa dakika hizo tena.
"Paulo bado yupo kwenye mchakato ambapo hawezi kufikia kikomo cha uchovu, hawezi kwenda dakika zaidi ya 65/70 kwa michezo mingi mfululizo, tunahitaji kuwalinda wachezaji muhimu ."

Mourinho pia amethibitisha kwamba Phil Jones na Eric Bailly hawatakuwepo kwenye kikosi kwa ajili ya mchezo dhidi ya Brighton
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…