Lakini Ni Kosa langu KukuQuote Cheap Fanboy Kama wewe... Inaonesha Wazi Hujawahi Hata Kucheza Mechi Za Mchangani...
Hivi Nyuma Ya [HASHTAG]#Morata[/HASHTAG] Kulikuwa na FABI, BAKAYOKO na HAZARD.. Hawa Ni Defensive Midfielders???
Labda Kwanza Tuanze na Lugha Ya Kimpira! Unafahamu mini Kuhusiana na DEFENSIVE/HOLDING MIDFIELDER?
CENTRAL ATTACKING MIDFIELDER?
WIDE FORWARD?
CENTRE FOWARD?
Ukija na Majibu ndiyo Nitajua Pa Kuanzia..
umerogwa wewe sio bureMkuu Conte akitimiza Miaka 5 basi atawashusha Daraja Trust me!
Mafanikio aliyoyapata last season katu hawezi Kuyapata tena!
Conte the same as Ranieri
City hajamuacha mtu so far Liver amekalishwa vizuri tu,Chelsea kakalishwa,Arsenal kakalishwa wewe na spurs ndo mmebakia na mtakaa tu tena ule mkao wa wanafunzi wa madrassa😀unamuonea mtoto wa watu wao uzur wa timu yao kipimo ni kuifunga united kasahau hao wakat city anawatawanya palepale kwao walikuwepo.
Kwa maana hiyo Zidane makombe yote aliyochukuwa ni kwa foundation za akina Mourinho,Benitez na Ancelotti maana kawakuta key players akina Ramos,Varane,Marcelo,Kroos,Modric,Isco, Ronaldo,Bale,Benzema.Conte win EPL with foundation formed by Juda. Key players like Costa,Courtous,Fabregas,Matic ,Willian,Pedro were signed by judas lets wait Conte win trophies with his players (Zapacosta,Drinkwater,Bakayoko,Morata,Alonso)
City hajamuacha mtu so far Liver amekalishwa vizuri tu,Chelsea kakalishwa,Arsenal kakalishwa wewe na spurs ndo mmebakia na mtakaa tu tena ule mkao wanafunzi wa madrassa😀
sasa unataka kusema utamdindia City? Sio kwa timu yenu unless msimamizi wa mazoezi abadilishe mbinu zake.ndoto za asubuh
sasa unataka kusema utamdindia City?😱
Time will tell nadhani hujazisahau zile 6-1 si ajabu zikajirudia tena.
Sasa Conte kawashwa na Guardiola kaja kukuwasha wewe kazi kwako wewe Guardiola akikuwasha sijui utaenda kumuwasha nani😀sio vibaya zikirud au kwakuwa kakuwasha unafikir wote ni wakina conte?
We know where we are going. Sio nyie na loserfool yenu na Kloppo wenu the best goals zenu na archivements zenyu ni kushiriki UEFA.
Please! Please! Please! Huu Ni Uzi Wa Man United! Habari Za Liverpool Zimekujaje Hapa Wakati Tunao Uzi Wetu??
Kwahiyo Hapa Tunayoijadili Ni Man Unite! Mimi Ninaiongelea Chelsea Kwasababu Nyinyi Wenyewe Ndiyo Munaopenda Kujizungumzia Chelsea Yenu Katika Nyuzi Za Watu Kwa Ajili Ya Kutafuta Promo Kwani Bila Ya Nyuzi za Watu Kujitangaza (Promo) Hamutoweza Kujuilikana That is why Munarandaranda Uzi huu na ule Kujipatia Promo angalau Muonekane Kama Chelsea pia ina washabiki Coz Kwenye Uzi Wenu Hanna Munachojadili Bali Copy & Paste za Majarida ya UK...
Hujawahi Kuniona Hata Siku Moja Kuijadili Liverpool Kwenye Uzi Huu au Mwengine Wowote...
Kwahiyo Kama unataka Kuizungumzia Liverpool Uzi Wetu Tunao na Nipo Active Muda Wote Njoo Kule Tuweke Conversation...
Mnaniangusha
Sasa Conte kawashwa na Guardiola kaja kukuwasha wewe kazi kwako wewe Guardiola akikuwasha sijui utaenda kumuwasha nani😀
huyo jamaa ndio ananinunulia bundle au ndo mwenye hii simu?kama umesoma vizur post yangu nlikuambia hakuna tatizo kuna jamaa kule kwenu kakuambia unaonekana timu ikishinda hawakutambui ukajitetea una kazi nyingi cha ajabu toka juma pili upo humu 24 hours as if chelsea ndo ushindi wake wa kwanza zilipendwa msubir liverpool anakuja kukutia alama tena tarehe 25
huyo jamaa ndio ananinunulia bundle au ndo mwenye hii simu?
unaongea vitu irrelevant kabisa😀
sio kwamba ni ushindi wa kwanza na si mara ya kwanza kuwafundisha mpira mazwazwa nyie nimsubiri Liver wa nini? kwahiyo ndio umeenda kutuitia Liver sio? ina maana wewe umetushindwa nashkuru kwa kuonyesha kukubali kwamba hamna mpira zaidi ya kelele tu za 4G mnapo waokota mapopoma wenzenu mwehu we.

Naona nimekugusa penyewe. Umekuja umejaaPlease! Please! Please! Huu Ni Uzi Wa Man United! Habari Za Liverpool Zimekujaje Hapa Wakati Tunao Uzi Wetu??
Kwahiyo Hapa Tunayoijadili Ni Man Unite! Mimi Ninaiongelea Chelsea Kwasababu Nyinyi Wenyewe Ndiyo Munaopenda Kujizungumzia Chelsea Yenu Katika Nyuzi Za Watu Kwa Ajili Ya Kutafuta Promo Kwani Bila Ya Nyuzi za Watu Kujitangaza (Promo) Hamutoweza Kujuilikana That is why Munarandaranda Uzi huu na ule Kujipatia Promo angalau Muonekane Kama Chelsea pia ina washabiki Coz Kwenye Uzi Wenu Hanna Munachojadili Bali Copy & Paste za Majarida ya UK...
Hujawahi Kuniona Hata Siku Moja Kuijadili Liverpool Kwenye Uzi Huu au Mwengine Wowote...
Kwahiyo Kama unataka Kuizungumzia Liverpool Uzi Wetu Tunao na Nipo Active Muda Wote Njoo Kule Tuweke Conversation...
Ata nyie mgetufunga mngehamia kabisa ktk uzi wetu.fact mkuu toka jumapili tunao humu kauzi kao wala hakatembei mtoto akianza kuota meno ni shida anapojifunza kuongea
halafu unamkosea heshima crystal palace kwa kumuita popoma wakat kakutundika aliepigwa hizo 4g na united mi chelsea simuogop mjeur akiwa kwake tu hata rekod zipo hivyo