Msitari wa pambizo
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 3,098
- 5,466
ni kweli hata kombe moja hatujachukua
Fundi asingekuwa bado anacheza Chelsea mpaka sasa.Waache chura wapige kelele lkn tembo Hazard atakunywa tu maji.
Wanalinganisha mauza uza na na Fundi Hazard?
Wakamuulize Herrera usiku wa jana km kalala bila viatu
Bao moja siyo ya mchezo......!!!!Chelsea km vile wametwaa kombe
Tatizo lako unajikanyaga kanyaga tu naona sasa umeenda kwa akina Messi na Ronaldo kwani nani alisema Hazard yupo level hizo?
Kwahiyo mchezaji asipofikia level za Messi na Ronaldo sio mchezaji mkubwa?
mbona unazidi kudhihirisha jinsi gani we ni mwehu?
ulianza kusema Hazard yupo level sawa na Martial na Rashford nilivyokubana ukahamia Hazard kazidiwa na KDB na Silva nikakupa mafanikio ya Hazard kwa timu yake na binafsi akiwa EPL nikakwambia nipe hayo mafanikio ya hao unaosema wamemzidi ndani ya EPL katika nafasi yake unaanza kumtaja neymar hizo kama sio bangi za chooni ni nini?
sio utindio wa ubongo tu mkuu na bangi za kuvuta chooni huwa zinasababisha mtu aongee ujinga wa level za PhD kama alizoongea huyo anaemfananisha Hazard na hao kima wake.
wewe uefa unazo ngapi?Watu wanachukua vikombe nyie mnachukua vinu... yani badala uchukue UEFA ya wakubwa wenzio unaenda kuchukua Europa ya wachovu.. kama we bora kweli kachukue kombe analoshiriki Barca, Bayern na Madrid...
Kombe ni UEFA na ligi kuu mengine uchafu
Madrid walikua wanamuhitaji kilaza???yaelekea hayo mabangi mnavuta chooni wewe na familia yako sasa kwa akili zako unafikir wote wanafanya hayo toka mwanzo ushaambiwa hazard ni mchezaj wa kawaida sana statistics zipo pale epl kila leo zinatoka hapenyi kwa kdb,silva na eriksen hao hakuna msimu wamecheza chini ya kiwango unatuambia huyo hazard msimu mmoja yupo vizur ujao haonekan tupe takwimu za misimu 3 akiwa kwenye form walau katoa assist 10 au 7 mfululizo hamna unabak kuorodhesha ma ueropa ambayo hata tuanzebe kabeba
Madrid walikua wanamuhitaji kilaza???
Madrid walikua wanamuhitaji kilaza???
mkuu mashabiki wengi wa chelsea ni majeruhi wa arsenal na liva hawajui mpirahalafu kwa nini mnapenda kugeuza mada nani kasema kilaza? jaman jaribun kuwa makin msiwe mnajiongezea vi maneno kama mwenzio yule ni mchezaj mzur ila wa kawaida tu sio kilaza
Timu imefungwa nyumbani na Crystal Palace tunaenda kucheza nayo mpira wa hofu si maajabu haya😀😀😀Jana hatukuwa vizuri kabisa
Mpira wa jana ulikua umetawaliwa na mbinu na kujituma kwa wachezaji.Approach ya mechi ilikuwa right na kipindi cha kwanza timu ilicheza vizuri ingawa Chelsea walikuwa na advantage ya kuwa na wachezaji 3 katikati na kurudi kwa Kante kuliwasaidia sana while tulikuwa na viungo 2 na kwa mtazamo wangu Matic na Herrera walicheza vizuri tatizo kubwa again lilikuwa ni Mikhtaryan utafikiri timu ilikuwa inacheza pungufu i believe kama Pereira angebaki lazima angempiga benchi kwa sasa
Baada ya kuingia Fellain timu ikaweza kudominate kati kutokuwa na match fitness Fellain alipoteza mipira 2 ambayo ingetucost kama Chelsea wangekuwa makini
Defence licha ya kucheza vizuri walifanya kosa kubwa wakamsahau Morata akapiga kichwa akiwa free.I hope Pogba arudi mapema na hatutakuwa na majeruhi December ambacho ni kipindi muhimu kukusanya point
Kitu kingine Utd mlishindwa kudhibiti Chelsea wasipige passes nyingi unaweza kuona ni namna gani Hazard na Morata na Faby na Alonso na Bakayoko na Zappacosta walivo kua linked ktk utoleanaji wa pass na Faby ndo alitoa passes nyingi za hatari kila Mara ziliwavuka mabeki wa Utd na kuleta madhara huku team ya Utd iki fail ktk hilo. Mana Kante alikata nyendo zoteApproach ya mechi ilikuwa right na kipindi cha kwanza timu ilicheza vizuri ingawa Chelsea walikuwa na advantage ya kuwa na wachezaji 3 katikati na kurudi kwa Kante kuliwasaidia sana while tulikuwa na viungo 2 na kwa mtazamo wangu Matic na Herrera walicheza vizuri tatizo kubwa again lilikuwa ni Mikhtaryan utafikiri timu ilikuwa inacheza pungufu i believe kama Pereira angebaki lazima angempiga benchi kwa sasa
Baada ya kuingia Fellain timu ikaweza kudominate kati kutokuwa na match fitness Fellain alipoteza mipira 2 ambayo ingetucost kama Chelsea wangekuwa makini
Defence licha ya kucheza vizuri walifanya kosa kubwa wakamsahau Morata akapiga kichwa akiwa free.I hope Pogba arudi mapema na hatutakuwa na majeruhi December ambacho ni kipindi muhimu kukusanya point