Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Marouane Fellaini and Marcos Rojo have travelled with the Manchester United squad to London. [men]

[HASHTAG]#MUFC[/HASHTAG]

Sijui kwanini nilikuwa nahisi kuwa Fellain alikuwa anawekwa kusubiri game ya Chelsea maana ilisemwa kuwa angerudi uwanjani kabla ya tar 10 mwezi huu. Ni habari njema kama yupo included katika squad iliyoenda London.
 
Confirmed travelling squad members vs Chelsea

David de Gea

Sergio Romero

Joel Pereira

Antonio Valencia

Phil Jones

Eric Bailly

Victor Lindelof

Marcos Rojo

Chris Smalling

Daley Blind

Ashley Young

Matteo Darmian

Marouane Fellaini

Jesse Lingard

Ander Herrera

Scott McTominay

Nemanja Matic

Henrikh Mkhitaryan

Juan Mata

Anthony Martial

Romelu Lukaku

Marcus Rashford
 
Ronaldo christiano alikataliwa na wenger unasemaje?
Hizo ni stori za kusadikika, ukitaka tutaje wachezaji WANAOSEMEKANA kukataliwa na wenger tutajaza server ya jf.

Moh salah, KDB & Lukaku ipo wazi kabisa na kila mtu anajua walipita chelsea wakaonekana hawafai, hii sio stori ya kusadikika kama ya wenger
 
Leo tujitoe....tusizuie sana....ndio njia pekeee ya kumfukuzisha kazi conte. Otherwise tutatoa sare
 

sijaona mantik yako sasa kama mfumo uliwakataa unataka ulazimishe wecheza kama liverpool? au huyo ndo mchezaji wa kwanza duniani kufeli timu flan kwenda timu b akang'aa?
 
Hata Isco Alcaron alikataliwa na Ferguson kwa kuwa tu alionekana ana kichwa kikubwa kuliko kiwiliwili.
Hizi zipo sana mbona.

sijui huyo mshabik wa liverool mantiki yake ni ipi hajui hata mifumo ipoje falcao alifeli united na chelsea manaco anakinukisha pia hata hao aliwaowataja wa chelsea kwa kipindi kile walikuwa wanaubavu gani wa kuwaweka bench waliowakuta?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…