Iv akuna wakutufikia apoTumetua hatua ya 16 bora, kilichobaki ni kumaintain record yetu tu.
ndugu kama tutafungana nao poit head to head ndio itakayoangaliwa hivyo bado tunanafac kubwa cozi czan km wataweza ktufunga gori tulzowfunga wao ktk mech zlzopita na istoshe bado cjaiona tmu y kfunga hapo. GGMRondo kakueleza vizur sana magoli hayana maana tunahitaji point moja kukata nafas ya uhakika ushindi wa cska moscow ulitibua
ndugu kama tutafungana nao poit head to head ndio itakayoangaliwa hivyo bado tunanafac kubwa cozi czan km wataweza ktufunga gori tulzowfunga wao ktk mech zlzopita na istoshe bado cjaiona tmu y kfunga hapo. GGM
Unajua maana ya 'mathematically possible' kwenye soka? Kama unajua utaekewa nasema nini. Bado hatujapita group stage.
Kuna mtu alikuwa anafikiri H'field wangetupiga mbili? Au Roma angemlamba Chelsea 3-0 ? Kuna mwaka tulitolewa group stage kizembe sana kwa kuamini bado tutamfunga fulani mara paap nje!jamaa anapigia hesabu magoli anajua shughuli imeisha hajiulizi basel alimpigaje 5 cska moskow siku zote usalama ni point sio magoli tunahitaji suluhu au ushindi basi ili kumaliza shughuli
Kuna mtu alikuwa anafikiri H'field wangetupiga mbili? Au Roma angemlamba Chelsea 3-0 ? Kuna mwaka tulitolewa group stage kizembe sana kwa kuamini bado tutamfunga fulani mara paap nje!
sidhani kama uefa wanaangalia magoli, bali wanaangalia mlivyokutana nani alimfunga mwenzie, tukipoteza then basel au cska mmojawapo akatufunga nyingi zaidi ya tulivyowafunga wao wanatushusha.kweli mkuu kwenye hili hili kundi tulitolewa kizembe mno kama sio 2011 bas 2012 tuliamin basel tunamfunga ajabu tulitoka 3-3
ndo mana tumamwambia jamaa muhimu ni point sio magoli ndo mana hata wachambuz wanakwambia tunahitaj point moja japo tuna wingi wa magoli.
Upo sahihi hata Spurs alipopata safe ya 1:1 kwa Madrid alikaa juu na Leo iwapo wakitoka 0;0 ataendelea kukaa juusidhani kama uefa wanaangalia magoli, bali wanaangalia mlivyokutana nani alimfunga mwenzie, tukipoteza then basel au cska mmojawapo akatufunga nyingi zaidi ya tulivyowafunga wao wanatushusha.
2017–18 UEFA Champions League group stage - Wikipedia
hata kama una goli 20 ukifungana na timu yenye goli 5 na hio timu ilikufunga ujue wewe utakuwa chini na hio timu itakaaa juu yako.
bayern/psg shuguli ipo. au wa u.k watupu ili waparuane mancty, man-uhatua inayofuata naomba tupangiwe madrid
Timu za ligi/nchi moja haziwezi kukutana hatua ya 16 bora. Ni kuanzia robo fainalibayern/psg shuguli ipo. au wa u.k watupu ili waparuane mancty, man-u
Uwezekano wa City na PSG kukutana 16 bora ni finyu sababu wote wana kila dalili ya kumaliza wakiwa vinara wa makundiMi naomba sana Man city akutane na Psg ili nione huo mtanange utakavyokuwa hata kama ni saa nane za usiku ntaenda kibanda umiza kuiangalia hiyo mechi
Mkuu imenishangaza perot kumpekenyua mwenzie madole matakoni baada ya kushinda goli la pili.Sijui kama uliiona hii
Hawa wazungu sijawahi kuwaelewa