Ni si lazima "un-quote".Sio lazima uchangie. Leo nani kapaki bus?
Muoga wa big match huyo..record yake inajipambanua vyema..Yani ye bora asifungwe ila akose point 3 ht km zamuhimu...[emoji23][emoji23]
Ana kikosi kizuri lakini muoga!Muoga wa big match huyo..record yake inajipambanua vyema..
Mzee wa kupaki basi.
Ndio ndio.Ana kikosi kizuri lakini muoga!
Mkuu nmecheka kidogoSayansi iliyopo kati ya Rashford na Martial ni ya ajabu sana. Uwe sub ili upate goli.