Leo wavamiaji hatuwaoni humu roho zinawauma sana ila nilichokigundua herrera hawaendani na matic jana kawa sambamba na tuanzebe kacheza vizur mno
Hadi kwa muda huu najivunia kuona vijana toka academy yetu wakicheza na wakubwa
Hii itawapa nguvu wakina angel gomez kukaza wakiona wenzao wanapata nafasi.