Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kuna wimbo wa Baraka Mwinshehe unaitwa Jogoo La Shamba. Mkipata muda jaribuni kuusiliza
Kaka umenimaliza lait kama mourihno angesikia wimbo huo yangekukuta ya Ander Herrera
 
Mkuu tukutane
Trh 28 oct
Trh 05 nov
Trh 10 dec
Kuna watu nimewaluka hapo hawatuumiz kichwa sana... Tatzo mnajifanya wachambuzi na uchambuz kanjanja wenu huo
 
Mkuu tukutane
Trh 28 oct
Trh 05 nov
Trh 10 dec
Kuna watu nimewaluka hapo hawatuumiz kichwa sana... Tatzo mnajifanya wachambuzi na uchambuz kanjanja wenu huo
Hakuna mchambuzi yeyote humu ndani ya jukwaa wala mimi si mchambuzi.
 
Nakubaliana na wewe kwa asilimia nyingi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…