Kuna watu ukiwasikiliza na ukiona ni nini timu inafanya unaweza kuwatukana. Mpaka sasa hatujapoteza mechi yoyote kwenye Epl na UEFA, uyo mtu anatoa wapi nguvu ya kusema tumepoteza identity yetu?
Kuna watu hawakupenda yale matokeo ya Liverpool, walikua wanasubiria tufungwe halafu wapate ya kuongea. Tatizo hatukufungwa ndio maana wana weweseka.