Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Update:
Fellain kaumia kwenye mchezo wake wa Timu yake ya Taifa na huenda akaukosa mchezo wake na liverpool tusubiri update rasmi toka kwa timu tuone atakaa nje kwa muda gani
‍♂️
‍♂️
Habari mbaya hii. Hope atarudi mapema
 
Huyu wenger kala maharage ya wapi?

GOSSIP


The French winger has been electric when picked for United this season (Picture: Getty)

Arsene Wenger has identified Manchester United star Anthony Martial as the player he wants to replace Alexis Sanchez at Arsenal, according to reports.

The Chilean is out of contract next summer and refusing to sign a deal, with the Gunners now increasingly resigned to losing him for nothing and preparing for his likely exit.
And, according to The Sunday Mirror, Wenger is already plotting a move for Martial and is confident he can secure his services, despite United being adamant he will not leave.
 
Anawafurahisha washabiki wa Arsenal.
 
Aweke mzigo tu mezani £127M
 
Martinez kocha wa ajabu sana. Belgium imeshafuzu WC anawachezesha watu kama Fellaini wa nini? Utafikiri hajawahi kuwa EPL club manager!
Ajabu kabisa. Kocha alitakiwa kuwapa nafasi wachezaji wengine ambao hawachezi sana ili nao wapate feel kuwa nao ni part ya national team. Makocha wa national teams sijui kwanini huwa hawako considerate na vilabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…