Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Yani leo timu inacheza kawaida sana ila inapata matokeo
 
Leo kuna tatizo pale nyuma ya Lukaku, Lukaku akiwa kwenye position nzuri hapewi mpira. Tunaweza kuvuka NNE (4G) yetu, kama Makosa hayo yatarekebishwa.
Tatizo hamna playmaker!Kukosekana kwa pogba au herreira kumepunguza creativity
 
Kwa msimu tunachotaka matokeo aswa kwa hivi vitimu vidogo ili wachezaji wazidi kujiamini.
 
Mkubwa Fella ni man of the match Leo. Anafunga, anakaba, kazi yote yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…