Natamani mechi ijayo tucheze na arsenal mazee...[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Nilipoteza simu bosssWewe mtoto ulikuwa wapi siku zotee hizi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji120][emoji120]
UMENIKERA PICHA YA DP APO TUShikamoo De Gea
Kuna match alikosa penalt, sasa naona atakuwa kaingia woga.Ninachojiuliza ni kwanini Lukaku hakuchukua penalt??
Hahahaa uko vzuriiii rutaaaaNilitabiri jana aliyenisikiliza mkeka umekubali
Hahahahahaaaa ww Dada nakuombagaUwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Nina rahaaa Leo na vile the buluziiii wame differentiate the constant
Hahaaaaa basi sawa...Everlenk tunammiss sana ujueYaani nimekaa two Weeks bila simu mkuu hivi sasa ndiyo nimeweka line kwenye werevaa mpya nipo naichaji
Pole mtoto mzuri... Nina jezi yako apaNilipoteza simu bosss
Nilikata tamaa ile 1st half aiseeTumeshinda kibabe, kwa jinsi tulivyokua tunacheza vibaya. Sikutarajia kama tutawawasha goli 4.
we wiki mbili huna simu......ina maana huna danga mjini hapa la kukununulia simu aiseeeeee......why mtoto mzuri ukae two weeks without phoneYaani nimekaa two Weeks bila simu mkuu hivi sasa ndiyo nimeweka line kwenye werevaa mpya nipo naichaji