Kwa niaba ya Manchester utd na mashabiki wake wote, tunatoa shukrani za dhati kwakua na sisi katika kipindi hiki kilichopita cha misukosuko na kupigwa risasi kwa MH TUNDU LISSU Kiukweli kama binadamu wachezaji wetu waliathirika kisaikolojia.. Baada ya juhudi kubwa za kuwaweka sawa, napenda kuwafahamisha mtaendelea kupata burudani yenu ile ile ya 4 4 kama mliyoizoea.. NAPENDA KUTANGULIZA SHUKURANI ZANGU ZA DHATI KWA UVUMILIVU WENU.. ASANTENI SANA