Hii Mou kasema dogo aachiwe ili kumuongezea kujiamini mkuuHizi Penati wamuachiage Herrera
Valencia hana busara na afya za watu lile kombora limetoka north korea kabisa kipa pole yake sana ni moja kati mabao bora kabisa msimu huu...GGMU
Ule mpira tunasema ulijaa mguuniValencia hana busara na afya za watu lile kombora limetoka north korea kabisa kipa pole yake sana ni moja kati mabao bora kabisa msimu huu...GGMU
Hajaamini macho yakeWachezaji waliheshimu uwepo wa rooney uwanjani tu baada ya kutoka tukafungulia 4G