Majirani hawana mchezo kabisa linapokuja suala la kufunga goli nyingi..... Inabidi tuache kosa kosa tufunge kweli maana city anatishia amani sio kwa vipigo anavyotoa.
Majirani hawana mchezo kabisa linapokuja suala la kufunga goli nyingi..... Inabidi tuache kosa kosa tufunge kweli maana city anatishia amani sio kwa vipigo anavyotoa.
Timu yetu inatakiwa ianze kucheza mpira mgumu haswaa,, tena wa kutafta ushindi mwanzo mwisho.. zle kosa koss znatakiwa zfikie ukomo mara moja,, la sivyo City ashatuacha tayari..
..Mechi ya leo ni NGUMU sana wakuu..Everton amepoteza mechi tatu mfululizo(in all completion) so leo atajikaza ili asipoteze while UTD tunataka ushindi tena wa goli nyingi ili turudi juu pale..aisee ni ngumu sana ila tuna advantage ya kuwa HOME so LETS DO THIS REDS!! LETS KILL'EM...!! GGMU!! GGMU!!!