Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Big fella katupia na katoa pande khalafu mipira mingi sana aliiidhibiti khasa ya juu kwa ujumla alikuwa mzuri.

Game ya stoke city tulikosa mtu kama fellain au zlatan ibrahimov jana mourigho wakat anahojiwa kasema pia kumuingiza fellain ni kwa kuwa fc basel walikuwa wa 5 ndani ya box ilitakiwa pawepo mtu wa hewani.
 
Stoke unataka kumfanisha na basel
Stoke ni hatari wewe mlikaa wenyewe

Stoke sio hatar eden walipak basi muda mrefu goli zao zote uzembe wa beki la kwanza bailly alisinzia wenzie wote wamepanda lenyewe lipo tu la pili jones badala ya kuruka na choupo anamuangukia magotini ile beki ilicheza kama wanatoka leage 2 jana kuna kitu mourinho kaongea kuhusu lindelof akipona rojo kuna haja pia kuwatest combination yao
 
Fellaini Stats this Season
Substution Against Westham Man Utd won 4-0
Substution Against Swansea Man Utd won 4-0
Substution Against Leceister Man Utd won 2-0
Not Played Against Stoke Man Utd Draw 2-2
Substution Against Basel Man Utd won 3-0
 
jana ilikuwa ni mechi ya 100 kwa david degea kuichezea Manchester United bila ya kuruhusu goli.
kama wewe ni mpenzi wa real madrid tafadhali hii video haikuhusu endelea kubaki na hali yako na msaada wetu mkubwa ni kukupatia fax machine

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…