Fergie ashasema hamsajili Sneijder (which doesn't mean anything)...so far man Utd wako willing kumpa 190K a week hiyo ya 250K utakuwa umeitoa kwenye The Sun si bure lol.is this deal gonna be worthy for man u? a wages of £250,000-a-week ???
Sneijder, 27, demanding wages of £250,000-a-week to switch to Old Trafford
napita tu kusalimia wakuu narudi darajani.
Chelsea ni wa 46, Arsenal wa ngapi?Hongereni wakuu wa Manure kwa kuwa more valuable lakini mnadaiwa 1/2 a billion nasikia Chelsick hawakuwa kwenye 10 bora pamoja na umafia wao.
Arsenal ni wa 3,ulikuwa hujui?Chelsea ni wa 46, Arsenal wa ngapi?
Kuna uvumi umeenea Manchester usiku huu kuwa kesho kutakuwa na big announcement kutoka klabuni kesho.....!!
Nilikuwa nazungumzia list ya timu zote (ukijumlisha na za baseball na American football).Arsenal ni wa 3,ulikuwa hujui? Manchester united have been valued as the richest club in the world, according to Forbes 2011 Soccer Valuation, a new survey.For the seventh consecutive year Manchester United is No1 on the Forbes list ranking the most valuable football teams, with a value of $1.86bn (£1.13bn).Forbes released the list, which will be featured in the 9 May issue of the magazine, on Wednesday.Real Madrid are again No2 with a value of $1.45bn, followed by Arsenal at $1.19bn, Bayern Munich at $1.1bn and Barcelona, who drop one spot to No5, with a value of $975m.
Well Paddy Crerand kasema kuwa interest kwa Nasri bado ipo, kuhusu Sneijder hakuna anayejua nini kinaendelea....hakuna fununu yoyote?
Hey any news on sneijder?