Yeah nyuma wanacheza na mabeki watatu,wamejaza viungoHii mechi ngumu kwa uchezaji wa Swansea wanavyojazana nyuma
Leo yupo kama amekunywa mtori
Leo yupo kama amekunywa mtori
Anafanya rafu huku ameshapewa njano
[emoji3] [emoji3] [emoji3] na mie piaHa ha ha nimeupenda uwanja huo