Tukienda mwendo huu tutanyanyua kwapa.Man U Matawi ya juu..Westham kafa 4....
Mwendo mchibuyu.....kimbizaaaaa...
Yani lazima ajute kumuuza.
Mechi ya kwanza nyumbani dhidi ya west ham yenye wachezaji lukuki wapya bado hawaelewani wewe unaleta porojo hapa!Kwa jinsi navyoitazama sasa hivi hii mechi ya man utd vs west ham,hakika utd imebadirika na imeimarika kwa kiasi kikubwa.Na natarajia moto huu utaendelea hadi mwisho wa msimu ikiwezekana kutawazwa mabingwa wapya wa EPL.chelsea,arsenal,man city,liver pool,tottenham fans kujiandaa kisaikolojia.
Hongereni kwa ushindi mnono.Nina furaha Leo ngoja nikalale maana hii mizuka naweza Fanya mavitu ya ajabu huku mtaani
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu nemanja matic mzito
hapa ulivyowska picha natamani apewe mechi nyingine tena muda huu
[HASHTAG]#maestro[/HASHTAG]
Kamfurahishe bwa'she kwanza ndio ulale, ukiwa na furaha mfurahishe na mwenzakoNina furaha Leo ngoja nikalale maana hii mizuka naweza Fanya mavitu ya ajabu huku mtaani
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa subiri uone utajua ilikufa au ipo.Mechi ya kwanza nyumbani dhidi ya west ham yenye wachezaji lukuki wapya bado hawaelewani wewe unaleta porojo hapa!
Subiri majanga kama ya LVG, united ilishakufa kama liver. Ni jina tu!!
Mambo si ndiyo hayo..
Majiran mbona hawaji
Kabsa ana impacts sana...huu moto uendelee..sema rashford na mikhi kama kuna uselfish flani kwa mbali,mou awakemee..martial ni mchezaji mzuri sema anatakiwa aeshimike..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu si nimesema Mimi ni single, naanza booking kwa lukakuKamfurahishe bwa'she kwanza ndio ulale, ukiwa na furaha mfurahishe na mwenzako
Glory glory Man united,
Glory glory Man united,
Glory glory Man united,
As the reds go marching on on on!
Just like the busby babes in days gone by,
We'll keep the red flags flying high,
Your gonna see us all from far and wide,
Your gonna hear the masses sing with pride.
Sent using Jamii Forums mobile app