Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sijamsikiliza, kasemaje?

Jamaa kasema tuu kama mdau mmoja hapo juu kuwa alisainiwa ili kuja kufanya mambo kama ya kina Scholes bt hajatimiza matarajio ya mashabiki. Akaongeza kuwa mtu kama scholes hakuwa selfish. Alikuwa mwepesi katika utoaji wa pass. Japo ni usajiri mzuri anatakiwa abadilike.
 
Huu upigaji kona wetu na mipira iliyokufa wakienyeji sana hata kwenye ndondo cup hawapigi kipuuzi hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…