Manchester United (Red Devils) | Special Thread


Nasikia wameleteana noma na Mbappe.
 
Real Madrid starting XI v Manchester United

View attachment 561197

Nikimuonaga Mata Juan Garcia roho yangu huwa inatulia sana. Ujue majamaa mpira wao huwa ni wa kukimbia kimbia. So anatakiwa mtu kama Mata kuwatuliza. Ata Carrick naoman hii game yake hii. Sema Mou anamkubali sana Matic coz jamaa ni kiongozi uwanjani. Anawaonesha vijana wapige mipira wapi. Kitu ambacho Carrick huwa anakimiss sometimes.
 

Mata ni mzuri sana hasa kwenye kuficha mipira na kufungua ukuta wa upinzani. Lakini tatizo lake ni pace na upande anaocheza kuna Marcelo,Micki anaitajika kwasababu ya speed yake,itamfanya Marcelo kushindwa kupandandisha mashambulizi mara kwa mara.
 
Manchester United.
 

Attachments

  • IMG_20170808_195722.jpg
    70.2 KB · Views: 33
  • IMG_20170808_195717.jpg
    108.2 KB · Views: 31
  • IMG_20170808_195708.jpg
    78.9 KB · Views: 30
Kweli klabu yangu ni klabu sana..supercup ya mwaka huu imekuwa hot kuliko zote zilizopita recently..utafiri ni final ya uefa


Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app

Mimi mwenyewe nilikuwa najiuliza why super cup ya safari hii imekuwa so hot, zilizopita nyingi zilikuwa kimya kimya, mnasoma matokeo tu.
 
Real Madrid XI vs [HASHTAG]#mufc[/HASHTAG]: Navas; Carvajal, Varane, Ramos, Marcelo; Casemiro, Kroos, Modric, Isco; Bale, Benzema

Real Madrid bench:

Casilla, Asensio, Cristiano, Theo Hernandez, Nacho, Kovacic, Vázquez.
 
Club Cha Mpira Wa Miguu Tajiri Zaidi Duniani Manchester United Tukicheza Na Jamaa Yetu Madrid Muoga Kutuuzia Wachezaj.

Jaman Saiv Kugombea Mchezaj Na Psg Unamkosa Asubuhi Tu Labda Mchezaj Aikatae Psg Ila Wapenda Mpunga Umeumia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…